FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Una ukale kichwani mwako ubeki sio sura mbaya John stone ni beki mzuri kulingana na haoEpl ya leo sijaona mabeki kama Jammy Caraga,Tony Adams,Jaap Stam,Marcel Desailly na Juma Nyoso.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ukale kichwani mwako ubeki sio sura mbaya John stone ni beki mzuri kulingana na haoEpl ya leo sijaona mabeki kama Jammy Caraga,Tony Adams,Jaap Stam,Marcel Desailly na Juma Nyoso.
Hayo umesema wewe .Mpira ume badilika una kasi watu wanataka matokeo masuala ya kupiga kanzu matobo bila uelekeo watu wamehama uko
Hamna kitu wewe hujui mpira ndio maana unawaona hao jamaa uliotajiwa ni hatari ila Kwa sisi tunajua mpira hapo hamna kitu ni WA kawaida sana nilipokuona kituko kusema ngumi mkononi mzee ngumi za nini uwanjani hapo sio ulingoni utalambwa nyekundu uigharimu timu marefa wa Sasa hivi hawataki vituko Kuna v.a.r🤣🤣🤣🤣Kwahiyo watu wote hao wanaokwambia hawajui wewe mtoto wa "afu mbili" ndiyo unajua?
Maajabu hatautaki OK?
Legends wengi wanasema mpira uliishia 2010... Baada ya hapo massive transformation ikavamia mpira kupindukia kuanzia technology even tactics + Techniques kuhusu mpira kwa ujumla.Hakika watu kama wewe mpo wachache sana na ndiyo mnaojua mpira halisi uliokuwepo ulaya na sasa hivi total different kabisa.
Lakini walioanza kuangalia majuzi wanaona kwamba ni soka Zuri kumbe ushubwada mtupu
Kwa sasa hakuna vipaji eti Halaand ni kipaji wajameni hata kwa Samuel Etoo alipokuwa prime huyo hafiki
Watu wanakaba sahvHayo umesema wewe .
Je zamani watu walikuwa hawafungi?
Kwanza match za sasa zina magoli machache sana
Mara moja moja sana unakuta goli zaidi ya 5 .
Hakuna mpira hapo
Jude Bellingham unaweza kumfananisha na Makelele au Zidane? Ni beki yupi unaweza mfananisha na Hiero ukimwacha Carvajal at leastKwamba Jude au vincus ni masharo sio
Zidane UEFA ya kwanza alichukua akiwa na umri Gani tuanzie hapa kwanzaJude Bellingham unaweza kumfananisha na Makelele au Zidane? Ni beki yupi unaweza mfananisha na Hiero ukimwacha Carvajal at least
Mmhhh mkuuWatu wanakaba sahv
Mtu kuruka viunzi tokea katikati hadi golini kufunga hamna tena wachezaji wa zamani wenyewe wamesha liongelea hili
Ulishamkagua kwenye 1 v 1 situation huwa ana hali gani. ?Una ukale kichwani mwako ubeki sio sura mbaya John stone ni beki mzuri kulingana na hao
Unapoteza muda wako bure huyu dogo hajui kitu kabisa inaonekana bado mwanafunzi hajaona mpaka aende YouTubeJude Bellingham unaweza kumfananisha na Makelele au Zidane? Ni beki yupi unaweza mfananisha na Hiero ukimwacha Carvajal at least
Huko sio kukaba Sasa ni kucheza rafu kunakopelekea kulambwa nyekundu kumbe wewe hauongelei mpira unaongelea rafu dah kweli kunavutuko🤣🤣🤣🤣🤣Mmhhh mkuu
Zamani watu walikuwa wanakaba aloo khee
Unamuona baba ake na dogo Halaand? Alitaka kumpita Roy Keane matokeo yake alistaafu kwa lazima kwa kuvunjwa mguu pale pale yaani ukabaji wa hatari sana.
Saivi kwanza huwa wanakaba box to box sio man to man
Sema kwa Afrika bado sana ,mimi huwa hata siangalii huu utumbo wa huku mfano Simba na Yanga ,labda Derby za South Afrika kama Kaizer chiefs vs Mamelodi Sundowns ndio huwa naangalia ,napo ni mara chache chache , takataka kabisa .Mimi binafsi mechi za Africa hapana ni ubabaishaji tu. Hata ligi ya Tanzania sipotezi muda wangu.
Huna fact wewe ni unaongea pumba yaani watu wakicheza rafu za kuvunja wenzao miguu wewe ndio unasema mpira mzee kweli wewe ni kubwa jinga huo sio mpira hizo ni rafu miaka hii ya V.A.R unakosti timu unalambwa nyekundu halafu unapotezea timu pointiUnapoteza muda wako bure huyu dogo hajui kitu kabisa inaonekana bado mwanafunzi hajaona mpaka aende YouTube
Hatuzungumzii Umri wala Mafanikio ya Timu....acha Ujuaji, mimi nimestick kwenye aina ya Wachezaji wa sasa na kizazi kilichopita na ndio maana ukatoa mifano ya WachezajiZidane UEFA ya kwanza alichukua akiwa na umri Gani tuanzie hapa kwanza
Hizo sasa ni rafuMmhhh mkuu
Zamani watu walikuwa wanakaba aloo khee
Unamuona baba ake na dogo Halaand? Alitaka kumpita Roy Keane matokeo yake alistaafu kwa lazima kwa kuvunjwa mguu pale pale yaani ukabaji wa hatari sana.
Saivi kwanza huwa wanakaba box to box sio man to man
Jibu swali zidane alichukua UEFA ya kwanza akiwa na miaka mingapi utaongeaje MAFANIKIO wakati mtu mmoja kashammaliza career mwingine ndio kwanza anaanza anamiaka 22 kwahiyo UEFA ya 2022 vincus junior unaweza kusema Hana mchango sioHatuzungumzii Umri wala Mafanikio ya Timu....acha Ujuaji, mimi nimestick kwenye aina ya Wachezaji wa sasa na kizazi kilichopita na ndio maana ukatoa mifano ya Wachezaji
Suala la Timu kuchukua kombe ni suala la Timu nzima sio Mchezaji mmoja mmoja
Mshamba mshamba halafu dizaini mjuajiUnapoteza muda wako bure huyu dogo hajui kitu kabisa inaonekana bado mwanafunzi hajaona mpaka aende YouTube
Ukiona mtu anaandika Kwa jazba ujue Hana point kama wewe nimeshakushika huna pointi umebaki kuandika kashfa kiufupi hujui mpira fuatilia simba na yangaMshamba mshamba halafu dizaini mjuaji
Mada inajadili nature ya Wachezaji wa zamani na wa hivi sasa yeye ananiletea habari ya Timu kuchukua Kombe ilihali hata kombe la kuku mtaani huku kigurunyembe wanatoa Makombe
hapo''ubeki sio sura mbaya" nimecheka sana,🤣😅Una ukale kichwani mwako ubeki sio sura mbaya John stone ni beki mzuri kulingana na hao