We kijana wa mwaka 2000,
1.Pale Cameroon leo kuna mchezaji kama Samuel Eto'o?
2.Liberia kuna George Weah mwingine kwenye soka?
3.Ile Nigeria ya akina Sunday Oliseh,Jay Jay Okocha na wenzake uliwahi kuiona? Hawa machoko wa leo wa Nigeria uwalinganishe na hivyo vyuma vya zamani?
4.Vile vitoto vibishoo vya Brazil ukisema utafute mwenye uwezo kama wa Ronaldo De Lima au Ronaldinho utampata?
5.Kwenye Muziki wa Pop,leo kuna mkali wa kulingana na Michael Jackson? Vipi kwenye Reagge, yupo anayemzidi Bob Marley,Peter Tosh au Lucky Dube?Huyo Gregory Isaac tu huwezi kumpata.
6.Kule kwenye basketball ninaimani hukuwahi kumuona Michael Jordan.