Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Hao wailkua wakali kweli sabab mpira haukua na tactic sana gape la anayejua na asiyejua lilikua kubwa sana

Sasa hivi ni tactics zaidi no wonder brighton anamfunga hata barcelona akikaa vibaya
2004 promising player kama Ansu fati hawezi akawa na kiwango cha kucheza barcelona alafu aje kucheza brighton apigwe bench na kaoru mitoma
Hamna kitu apo hao wachezaji wa kawaida sana sema wewe hujui mpira ndio maana umewaona wakali
 
Wewe umeongea pointi Moja kubwa sana siku hizi watu ni mfumo hawakimbiikimbii ukifuata uwezo wako lazima uharibu mipango ya kocha
Ile goli la Sakho alilochukua nalo kiatu akiwa Simba kocha hawezi kufundisha yale vitu lakini wachezaji hawezi kujaribu kwasababu wataharibu mfumo anaohitaji kocha
 
Nilikuwa siambiwi kitu Kwa Man U
Man U ikifungwa Hata chakula Kilikuwa Hakiliki
Kwasasa Sijui hata Imecheza Lini
Sijui ina points ngap
Nikiambiwa Imefungwa Kama Vile nimeambiwa Kuna Mbuzi kapotea huko Malawi!!
Yaani hata Roho Kustuka hakuna!
Nimebakia na Simba hii ndio Inayo nitesa sana japo Simuda nayo ...
Dah! yaani huyu jamaA ni mimi kabisA.
 
Mkuu
Ujue sasa hivi soka mmeliharibu

Leo hii mtu ukimwambia Xavi ni bora kuliko Rodri utakimbilia takwimu okay.

Wakati macho ya wazi kabisa Xavi alikuwa bora mara 200 ya Huyu Rodri

Pep mwenyewe alisema "sometimes football is beyond the number" yaani yeye anaamini mpira sio takwimu tu .

Sasa wewe unambishia kocha wa huyo Halaand?
Mkuu vipaji vilikwepo labda naweza kusema vipaji vya zamani wapiga mashuti na wanaojua dribble wanaonekana wakali,mpira wa sasa ni ujuzi na akili,falsafa ya kocha au timu inatumika zaidi,kuna wachezaji walikuwa wakipiga shuti kipa hadaki. Hamna pass kali kama za sasa.
Cross inapiga mpira unazunguka kurudi ndani, V-pass zinapiga mabeki wanarudi wanapishana na mpira,pass inapigwa mbele ya kidole gumba hata kugusa ngumu, Angalia magoli anayefunga Yamal wa Barcelona mpira unapigwa kama unatoka ila unarudi ndani, watu wanapiga panenka,unashambulia pass moja tu counter attack ndani ya sekunde kumi unashangaa upande wa pili watu wanashangilia goli.
 
Nilikuwa siambiwi kitu Kwa Man U
Man U ikifungwa Hata chakula Kilikuwa Hakiliki
Kwasasa Sijui hata Imecheza Lini
Sijui ina points ngap
Nikiambiwa Imefungwa Kama Vile nimeambiwa Kuna Mbuzi kapotea huko Malawi!!
Yaani hata Roho Kustuka hakuna!
Nimebakia na Simba hii ndio Inayo nitesa sana japo Simuda nayo ...
Mkuu mbona kama umenisemea mimi
 
Mim bado game za ulaya nazielewa sana hasa hasa big match,kibongo bongo simba na yanga tu,huko africa hata huwa sivutiwi kabisa na njisi timu zinavyocheza

Siwez kuangalia mechi ya Al ahly na zamaleki nikainjoy au kaizer chief na supersport nikainjoy

Mkuu
Ujue sasa hivi soka mmeliharibu

Leo hii mtu ukimwambia Xavi ni bora kuliko Rodri utakimbilia takwimu okay.

Wakati macho ya wazi kabisa Xavi alikuwa bora mara 200 ya Huyu Rodri

Pep mwenyewe alisema "sometimes football is beyond the number" yaani yeye anaamini mpira sio takwimu tu .

Sasa wewe unambishia kocha wa huyo Halaand?
Ili uweze kufanya mlingano wa football lazima uwe umeangalia WC ya kuanzia 98 hata kwa kurudia you tube kama utapata.
Umeongea point nyingi ila kwa Neimar umepotea.
Brazil haijawawi kumtegemea balm dancer. Nilivyoona Neimar ndiye mchezaji hatari nilijua kabisaa Brazil iliishiwa vipaji ktk WC. Denlson alikuwa type ya Neimar na alikaa mkeka.
Hapo kwa Xavi Hernandez uko sawa.
Kwa mtu aliyekosa kumuangalia Xavi, Zidane, De Lima, Figo, Requlme, Folan, Davol Sucker, Diego Simeon, Raul, Pirlo, au tuseme basi mtu aliyeanza kuangalia Mpira 2010 hawezi kuelewa vipaji ni nini
 
Mim bado game za ulaya nazielewa sana hasa hasa big match,kibongo bongo simba na yanga tu,huko africa hata huwa sivutiwi kabisa na njisi timu zinavyocheza

Siwez kuangalia mechi ya Al ahly na zamaleki nikainjoy au kaizer chief na supersport nikainjoy

Niliwahi kuuliza kuwa, hivi kuna Striker wa sasahivi angeweza kabwa na hawa mabeki na kupita? Angalia tu aina ya mabeki...akina Paolo Maldini au Genaro Gatuso halafu eti Striker ni Ganacho au Gabriel Jesus
Au Nesta au Estaban Cambiaso, kiungo kiwe Thulam, Pavel Nevded fullback left Ina Lizarazu asee
 
Back
Top Bottom