Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hamna kitu apo hao wachezaji wa kawaida sana sema wewe hujui mpira ndio maana umewaona wakaliHao wailkua wakali kweli sabab mpira haukua na tactic sana gape la anayejua na asiyejua lilikua kubwa sana
Sasa hivi ni tactics zaidi no wonder brighton anamfunga hata barcelona akikaa vibaya
2004 promising player kama Ansu fati hawezi akawa na kiwango cha kucheza barcelona alafu aje kucheza brighton apigwe bench na kaoru mitoma