Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #21
Nadhani hapa tumeshajua una matatizo makubwa sana either kiuchumi au kiakiliWewe unasumbuliwa na ugumu wa maisha
Kwahiyo halaand Hana kipaji aisee mzee embu jaribu kumuona daktari unatatizo la afya ya akili na ugumu wa maishaWenzetu kwa sasa hakuna team pia mkuu amini
Umeona Euro ya juzi kati? Kuna mpira gani mule yaani hovyo sana
Angalau walioangalia copa america ndiyo waliienjoy
Unazidi kuona kwamba team zao pia ubroa unashuka taratibu sababu ya makocha kutaka kuwafanya wachezaji wasio na vipaji nao wacheze mpira kisa tu wanafuata mfumo basi
Halaand na kipaji gani yule.mpaka aimbwe hivi?
No wonder lukaku bado ni lulu sababu hakuna pure striker nowdays
Wewe ndio unatatizo la ugumu wa maisha ndio maana unaona mpira hauchezwi na hiyo hutokea watu kama nyie ambao mfukoni hamna kitu lazima uone mpira takatakaNadhani hapa tumeshajua una matatizo makubwa sana either kiuchumi au kiakili
Jikite kwenye mada kama wenzio kijana
Huyo jamaa Hana akili timamu amuone daktari Sasa mtu anakuambia CAF ya kina simba na yanga kufika mpaka robo fainali ni Bora kuliko UEFA huyo anaakili timamuHaaland yupi huyo ni takataka? Huyu anayeongoza kwa magoli au?
Kina Cole Palmer wanavunja rekodi kwa kufunga magoli manne first half bado anasema hamna vipaji?Huyo jamaa Hana akili timamu amuone daktari
MkuuHaaland yupi huyo ni takataka? Huyu anayeongoza kwa magoli au?
Unajua Kuna watu vituko hivi anakuambia CAF NI zaidi ya UEFA champions league🤣🤣🤣🤣Kina Cole Palmer wanavunja rekodi kwa kufunga magoli manne first half bado anasema hamna vipaji?
Kazi ya halaand ni Nini ujue ukute hata kazi yake uwanjani huijui🤣🤣🤣🤣Mkuu
Ujue sasa hivi soka mmeliharibu
Leo hii mtu ukimwambia Xavi ni bora kuliko Rodri utakimbilia takwimu okay.
Wakati macho ya wazi kabisa Xavi alikuwa bora mara 200 ya Huyu Rodri
Pep mwenyewe alisema "sometimes football is beyond the number" yaani yeye anaamini mpira sio takwimu tu .
Sasa wewe unambishia kocha wa huyo Halaand?
Mimi mwenyewe nimeshangaa, UEFA inafananishwa na CAF kweli?Bro, yaan UCL na CAFCL kweli? Hata kama ulaya imebadilika lakn sio kwa level hizo.
Dogo mbona unajifanya unanijua jua sana? Mama yako ndio huwaga ananilea? Kwamba kazi yangu kumkaza tu then ananilisha?Kwahiyo halaand Hana kipaji aisee mzee embu jaribu kumuona daktari unatatizo la afya ya akili na ugumu wa maisha
Kuna watu vituko duniani huyu namba Moja yaani hiyo CAF hata mashindano ya UEFA conference club wanayoshiriki Chelsea mwaka huu haiyafikiiMimi mwenyewe nimeshangaa, UEFA inafananishwa na CAF kweli?
We ni chizi lazima tukudharau hatuwezi kusikiliza ushuzi wako nenda Kwa daktari unaandika Mavi matupu hapa Bora Mimi mtoto ila wewe ni kubwa jinga unaesema CAF inaizidi UEFA Kila mtu anakushangaa huo mpira wa CAF ni huu huu wakina simba na yanga dhidi ya Al ahly waarabu wa Africa uchwara🤣🤣🤣🤣Dogo mbona unajifanya unanijua jua sana? Mama yako ndio huwaga ananilea? Kwamba kazi yangu kumkaza tu then ananilisha?
Hebu acha ujinga kujifanya unajua jua watu hakuna aliyekuita hapa kama huwezi kujadili acha .
Mbona wenzio wamepinga na kukubali kistaarabu?
Utoto shida sana
Mkuu, na wewe unaamini Halaand sio bora ni takataka kulinganisha na kina Nunez?Mkuu
Ujue sasa hivi soka mmeliharibu
Leo hii mtu ukimwambia Xavi ni bora kuliko Rodri utakimbilia takwimu okay.
Wakati macho ya wazi kabisa Xavi alikuwa bora mara 200 ya Huyu Rodri
Pep mwenyewe alisema "sometimes football is beyond the number" yaani yeye anaamini mpira sio takwimu tu .
Sasa wewe unambishia kocha wa huyo Halaand?
Niliwahi kuuliza kuwa, hivi kuna Striker wa sasahivi angeweza kabwa na hawa mabeki na kupita? Angalia tu aina ya mabeki...akina Paolo Maldini au Genaro Gatuso halafu eti Striker ni Ganacho au Gabriel JesusI salute you kinsmen.
Binafsi nimeanza kufuatilia soka la ulaya muda kidogo Liverpool die hard fans.
Lakini tuseme ukweli ligi za ulaya kwa sasa uwezo wa wachezaji umekuwa mdogo sana na hakuna vipaji kabisa asilia yaani ile pure talent hakuna kabisa.
Hasa hasa EPL nowdays huwa nafuatilia game za Liverpool basi tu sababu ya kuipenda team ila kwa sasa sioni zile pure talent kama zama zile ..
Tulikuwaga na Xabi alonso anazima pale na mascherano kati halafu Steven Gerald. Lakini leo tuna wataru Hendo,
Tukikuwaga na watu wa kazi Denis Bergkamp pale arsenal lakini leo tuna Gabriel jesus, na taka taka zingine kama Halaand pale Man City.
Hebu fikiria watu kazi kama Vidic,Rio ferdinand, Ashley Cole, patrice Evra,dirk kuyt, hawapo tena pale Qpl ya moto enzi zile yaani full kuenjoy.
Binafsi ukiniuliza nitakwambia kwa sasa CAF champions league ni bora kuliko Uefa ya sasa hivi . UEFA ya mwisho kuwa nzuri zaidi ni ile 2015/2016! Baada ya hapo ni maigizo matupu na ujinga ujinga.
Wachezaji nowdays wamekariri mifumo kutoka kwa makocha kama maroboti yaani hatuoni zile extra talent kutoka kwao .
Sikuhizi mchezaji kufunga goli la uwezo binafsi ni ngumu sana sana zaidi ya kufuata mfumo kama robot..
Naamini Newmarket ndiyo talent ya mwisho ambayo ilibaki na ilitegemewa kufanya makubwa lakini ndio vile mnamuona tena mwenyewe kijana umri umesogea..
Nadhani ligi ya EPL ndiyo imeshakuwa ya kidwanzi sana kufuatilia hakuna tena soka la burudani kama zamani zaidi mifumo mipya ya hovyo wachezaji waifuate kama robot.
No wonder wachezaji kama Halaand wanacheza na wanaonekana bora sana, na wanafikia mpka kugombania tuzo kubwa kubwa ni ujinga.
Marefa wa epl ndio kituko kabisa hawana tofauti na huku Bongo wana VAR lakini bado maamuzi ni kichekesho.
Angalau Spain bado wana mpira wao asili kidogo unafurahia kuenjoy.
Afadhali hata ligi ya Tanzania kuna magoli yanafungwa unaona kabisa huu ni uwezo binafsi kabisa kuliko EPL ya sasa aseeh