Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.š¤£
Hivi ni nani aliyeturoga? Anyway soka letu kivyetuvyetu.
Kila lenye heri kwa Uganda na Algeria usiku wa leo
Hivi ni nani aliyeturoga? Anyway soka letu kivyetuvyetu.
Kila lenye heri kwa Uganda na Algeria usiku wa leo