Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Kwa hio Yanga anajaza bus kwenda Morocco kucheza na El mereikh?Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.🤣
Hivi ni nani aliyeturoga? Anyway soka letu kivyetuvyetu.
Kila lenye heri kwa Uganda na Algeria usiku wa leo
Kabisaa.Na ndicho kinacho ufanya mpira wetu kuwa na mvuto wa kipekee
X ina mashabiki mkuuSasa mpira bila mashabiki Kwan ni x hiyo
Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.
Mi mwenyewe nakupongeza komaa huko huko na hiyo ya Kenya aisee....Nilishaweka pembeni mpira wa kibongo
Aliyekwambia mechi inachezwa Morocco ni nani?Kwa hio Yanga anajaza bus kwenda Morocco kucheza na El mereikh?
It is our different that make us beautifullWakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.[emoji1787]
Hivi ni nani aliyeturoga? Anyway soka letu kivyetuvyetu.
Kila lenye heri kwa Uganda na Algeria usiku wa leo
Si umeona Sasa kumbe mashabiki ni muhimu sana kwenye michezoX ina mashabiki mkuu
Kenya ndio siujui kbsaMi mwenyewe nakupongeza komaa huko huko na hiyo ya Kenya aisee....
Umeandika kama wenyewe kabisaaaa.It is our different that make us beautifull
Kwani shida iko wapi hapo?Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.[emoji1787]
Hivi ni nani aliyeturoga? Anyway soka letu kivyetuvyetu.
Kila lenye heri kwa Uganda na Algeria usiku wa leo
sio kurogwa,huo ndio uwezo wetu, ulitaka sisi halifax novascotia,kwakuwa al ahly kaenda austria?usimuige tembo kunya utapasuka msambaWakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.[emoji1787]
Hivi ni nani aliyeturoga? Anyway soka letu kivyetuvyetu.
Kila lenye heri kwa Uganda na Algeria usiku wa leo
As if wakishindana nani kajaza hayo mabasi maandalizi mengine yanasimamaWakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.[emoji1787]
Hivi ni nani aliyeturoga? Anyway soka letu kivyetuvyetu.
Kila lenye heri kwa Uganda na Algeria usiku wa leo