mwanaapolo
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 256
- 78
Acha ushamba ndio ma mc wote wachekeshaji ufanya ata ukifatilia tuzo za black entertainment television na mtv etc.
Nina cd nyingi za b.e.t na mtv nitafute nikutumie uone na kamwe huwezi shangaa mpoki alivyofanya
Mkuu watu wamevunjiwa heshima hadharani we unashabikia?
Ukiona unachukia alichofanya mpoki jana, ujue ushazeeka.
Hivi 'bahili' ni tusi?mi mwenyewe mbahili
Kiongozi mimi sishabikii kuvunjiwa heshima, na kikubwa sikuangalia ...bali nimefuatilia mjadala hapa nikaona karibia yote yaliyosemwa yana ukweli..mfano Msanii fulani wa kiume KUWA MWEUPE ZAIDI.....Mkuu watu wamevunjiwa heshima hadharani we unashabikia?
Kiongozi mimi sishabikii kuvunjiwa heshima, na kikubwa sikuangalia ...bali nimefuatilia mjadala hapa nikaona karibia yote yaliyosemwa yana ukweli..mfano Msanii fulani wa kiume KUWA MWEUPE ZAIDI.....
Mpoki ametisha acha afuraishe raia[/QU
bora umekuwa tofauti mkuu humu jf mtu wa kwanza kuchangia akianza kwa kuisifia thread wote wataisifia ila atakayeanza kuchangia akiponda wote wataanza kuponda yaan kaz kwelikweli binafsi naona jamaa alikuwa sawa tu sherehe yenyewe ilipoa bila yeye haki ya nani watu wangesepa wote kabla ya muda
Mkuu ni sh 15,000 kwa basi na kila siku usafiri upo. Jitahidi ufike ujionee KLA na ENTEBBE maana ni miji inayotofautiana kwa umbali wa 40 km tungoja na mim niitafte kampala ncje nkaondoka bukoba kabla cjafka mana mpok kasema n km chache 2
Hao wanaoenda sokoni ufanya hivyo sababu ya ubahili hawataki wake zao wale cha juu ( chenji)
Napenda sana hiyo lifestyle
Ukiona unachukia alichofanya mpoki jana, ujue ushazeeka.