mwanaapolo
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 256
- 78
Acha ushamba ndio ma mc wote wachekeshaji ufanya ata ukifatilia tuzo za black entertainment television na mtv etc.
Nina cd nyingi za b.e.t na mtv nitafute nikutumie uone na kamwe huwezi shangaa mpoki alivyofanya
Hao kina Kevin Hrt, JB, Criss Turker hawafanyi mbwembwe mwanzo mwisho, na wakati wa utani ni utani. Utani unakua umepangiliwa.
Ndugu Mpoki alikua shaghala baghala, linalokuja kinywani analitoa. Angepangilia utani, show ingekua nzuri.
Shadee ni majangaaa!