real toxic
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 533
- 104
kwani msiba huo? acha watu wa enjoy.
Watu wa ZeComedy kwa kweli comedy zao mpaka ucheke inabidi uvute bangi ama kulewa gongo. Anyways, poleni mnaochekeshwa na jokes za kitoto!
he haz rl made my day mana m nko bored tokea asbh sa iz kanfanya ncheke
pole wewe be yourself
npo na shost...kipenz changu we angaza utamuona mbebes mkare amevaa gauni la mng'ao mng'ao na high hlz nyekundu!hahahah...plz do hurry up!Sure r u inn??! Nina suit nyeusi na shati jekundu naunaniona nanyanyuka kwenda toilet my love, uko na nani?
Bt kuna maneno anakosea tususifu tuu hata kukosoa pia ni vibaya kuwanyanyapaa na kuwatenga waathilika wa VVU kakosea sana kusema asiye piga makofi ana HIV its not good
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums