Mpoki ni balaa

Mpoki ni balaa

Dah! Mpoki u've made ma day!! Big up!
 
dah..mpoki ataniua kwa kucheka! eti kampala na bukoba yah there there....
 
lol mie nko meza za kati...swr!cnt wait to hug u!

Sure r u inn??! Nina suit nyeusi na shati jekundu naunaniona nanyanyuka kwenda toilet my love, uko na nani?
 
ngoja na mim niitafte kampala ncje nkaondoka bukoba kabla cjafka mana mpok kasema n km chache 2
 
Bt kuna maneno anakosea tususifu tuu hata kukosoa pia ni vibaya kuwanyanyapaa na kuwatenga waathilika wa VVU kakosea sana kusema asiye piga makofi ana HIV its not good

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wasanii wetu hawajui comedy ni nini. nashangaa mnavyowapaisha
 
Sure r u inn??! Nina suit nyeusi na shati jekundu naunaniona nanyanyuka kwenda toilet my love, uko na nani?
npo na shost...kipenz changu we angaza utamuona mbebes mkare amevaa gauni la mng'ao mng'ao na high hlz nyekundu!hahahah...plz do hurry up!
 
Jameni kwani kwenye taarabu ni mzee yusuf pekee..?
 
kuna sehemu ana kosea na ana pitiliza sana.
 
Bt kuna maneno anakosea tususifu tuu hata kukosoa pia ni vibaya kuwanyanyapaa na kuwatenga waathilika wa VVU kakosea sana kusema asiye piga makofi ana HIV its not good

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hapo ndio kaboa zaidi......
 
Back
Top Bottom