Watu wa ZeComedy kwa kweli comedy zao mpaka ucheke inabidi uvute bangi ama kulewa gongo. Anyways, poleni mnaochekeshwa na jokes za kitoto!
Jameni kwani kwenye taarabu ni mzee yusuf pekee..?
watu wengi hawajui hata comedy inatakiwa iweje ndio maana wanajichekesha chekesha
kiukwel ckua napenda taarb guec nymbo za mzee yusuf n nzur
Maybe...
Bt kuna maneno anakosea tususifu tuu hata kukosoa pia ni vibaya kuwanyanyapaa na kuwatenga waathilika wa VVU kakosea sana kusema asiye piga makofi ana HIV its not good
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
et wanaume wa kbongo hawaend sokon!?z t au mpok kawacngzia
Ni kweli hajacngizia..
Hii shughuli sio yake huo utani unafaa kwenye shughuli za kiswaz huko na kwenye kitchen party
Pls Kilimanjaro don't let this happen again, anaatack individuals Wazungu, jamaa bahili its really embarrassing
ila wapo baadh ambao hua wanaenda,,hiv iz t an awrkward thing 4 a man 2 go 2 the market?

Dah! Atakuwa amewekwa kwenye chupa lol..
ila wapo baadh ambao hua wanaenda,,hiv iz t an awrkward thing 4 a man 2 go 2 the market?