Mpoki ni balaa

Mpoki ni balaa

hahah umeipata hyo..,mwanamke mzuri hela we kazana kubeba chuma ukawe mlinzi...
 
Bt kuna maneno anakosea tususifu tuu hata kukosoa pia ni vibaya kuwanyanyapaa na kuwatenga waathilika wa VVU kakosea sana kusema asiye piga makofi ana HIV its not good

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mambo ya utani yale yasikuumize mpoki mi mtu wa utani utani
 
Eti Fina Mango ndo mngoni wa kwanza kuzaa na mzungu... Akutiholee chokhu ya maganga
 
Hii shughuli sio yake huo utani unafaa kwenye shughuli za kiswaz huko na kwenye kitchen party
Pls Kilimanjaro don't let this happen again, anaatack individuals Wazungu, jamaa bahili its really embarrassing
 
halafu watu eti wanatetea mi naona upuuzi tu...utafikiri yupo kwenye birthday party ya watoto
 
Hii shughuli sio yake huo utani unafaa kwenye shughuli za kiswaz huko na kwenye kitchen party
Pls Kilimanjaro don't let this happen again, anaatack individuals Wazungu, jamaa bahili its really embarrassing

Its just a joke.. so don't take it seriously
 
Bado categories ngapi? Mida ya kulala hii
 
Back
Top Bottom