Mpoki ni balaa

Nimeona Martin Kadinda alikasirika kutaniwa!. Kwa watu kama mpoki ni kucheka na kuondoka tu.
 
Asingekuwa mpoki ningekuwa nakoroma mm! Mpoki umeniongezea umri wa kuishi
 
Nimeona Martin Kadinda alikasirika kutaniwa!. Kwa watu kama mpoki ni kucheka na kuondoka tu.
Tatizo la mpok sifa zimezid Sana Anapitiliza sna mf,kuteleza kwa Vanesa Mdee ye anafanya sifa sasa wakat ile bahat mbaya,Ukwel sifa zikizid Unaharib Ata izo za BET haziko ivyo tumeshaziona nying tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…