emma_laurent
Member
- Apr 29, 2014
- 61
- 7
bt kuna maneno anakosea tususifu tuu hata kukosoa pia ni vibaya kuwanyanyapaa na kuwatenga waathilika wa vvu kakosea sana kusema asiye piga makofi ana hiv its not good
sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
hv kwel kesho ntawah misa ya sa 1 nnavojfanya kung'ang'ana na tv hapa
watu wengi hawajui hata comedy inatakiwa iweje ndio maana wanajichekesha chekesha
Hii shughuli sio yake huo utani unafaa kwenye shughuli za kiswaz huko na kwenye kitchen party
Pls Kilimanjaro don't let this happen again, anaatack individuals Wazungu, jamaa bahili its really embarrassing
hv kwel kesho ntawah misa ya sa 1 nnavojfanya kung'ang'ana na tv hapa
Yaan tumekomalia
kuangalia ----- huu watu wanaingiza hela watufanye hata Sisi tushindwe
kumwomba Mungu lol
Yaan tumekomalia kuangalia ----- huu watu wanaingiza hela watufanye hata Sisi tushindwe kumwomba Mungu lol
Misa itabidi uende ya tatu lol..
Ukiwa na nia lazma utaenda tuu.. nenda Misa ya tatu
umeongea ukweli mkuu...kuna moja host alikuwa KEVIN HART...MWANZONI KABISA ALISEMA ''NO ONE IS SAFE TONIGHT''...CELEBS WENGI WALIPIGWA MADONGO SIKU HIYO....THE FACT IS IF YOU KNOW SOMEBODY IS A COMEDIAN TAKE IT EASY AND BE PREPARED FOR IT..THOUGH SOMETIMES HE MAY CROSS THE LINE AND BE OFFENSIVE..HASIRA ZAKO WENGINE WANA ENJOY...Acha ushamba ndio ma mc wote wachekeshaji ufanya ata ukifatilia tuzo za black entertainment television na mtv etc.
Nina cd nyingi za b.e.t na mtv nitafute nikutumie uone na kamwe huwezi shangaa mpoki alivyofanya
kabisa mkuu....mm huwa siangaliagi hv vitu lakini leo nimefurahi sana..
Kwetu misa ni Mbili tu,Ya kwanza na ya pili Afu ya pili ni saa mbil na nusu.Daah
ya 3 hua naenda kushangaashangaa m napenda ya kwanza
ila naona kama dj bonny luv alichukia kuambiwa mbahili!!