Mpoki ni balaa

Mpoki ni balaa

bt kuna maneno anakosea tususifu tuu hata kukosoa pia ni vibaya kuwanyanyapaa na kuwatenga waathilika wa vvu kakosea sana kusema asiye piga makofi ana hiv its not good

sent from my blackberry 9300 using jamiiforums

generaly mpoki ni comedian mzuri...tatizo tu hayuko proffesional...yeye kwake kila kitu ni comedy... Regardless....
 
Ila naona kama DJ Bonny Luv alichukia kuambiwa mbahili!!
 
Hii shughuli sio yake huo utani unafaa kwenye shughuli za kiswaz huko na kwenye kitchen party
Pls Kilimanjaro don't let this happen again, anaatack individuals Wazungu, jamaa bahili its really embarrassing

hii ni mara ya pili kwa hiyo wanaridhika na performance yake....
 
Acha ushamba ndio ma mc wote wachekeshaji ufanya ata ukifatilia tuzo za black entertainment television na mtv etc.

Nina cd nyingi za b.e.t na mtv nitafute nikutumie uone na kamwe huwezi shangaa mpoki alivyofanya
umeongea ukweli mkuu...kuna moja host alikuwa KEVIN HART...MWANZONI KABISA ALISEMA ''NO ONE IS SAFE TONIGHT''...CELEBS WENGI WALIPIGWA MADONGO SIKU HIYO....THE FACT IS IF YOU KNOW SOMEBODY IS A COMEDIAN TAKE IT EASY AND BE PREPARED FOR IT..THOUGH SOMETIMES HE MAY CROSS THE LINE AND BE OFFENSIVE..HASIRA ZAKO WENGINE WANA ENJOY...
 
Kaboa sana, nahisi jamaa kalewa kiana!! otherwise too much jokes and personal attacks. Utani wa kuaibishana si sawa, by the way kuna watu wenye profiles and personalities tofauti bhana.
 
Back
Top Bottom