hakuna mpoki anazingua bwana...mpaka watu wanaogopa kupanda kwaajili yake bwana...
Sijafaham kwa nini watu wanamshadadia mpoki sijuwi kwa sababu kawa kaa kichwani lakini ukweli ni kwamba kachemsha vibaya .Hivi hawa waandaaji bora wangechukuwa mfano toka Tusker Project Fame waone jinsi gani hawa washereheshaji wanavyotakiwa ku_host show , kwa uelewa wangu unapokuwa unasherehesha wewe kama uliye kabidhiwa mpini sidhani kama unahaki ya kumueleza mtu kitu kinachomgusa negatively halafu uje useme ni komedy hapa ni kupotezeana radha ya sherehe.
eti kama mgeni mwalikwa hajapiga makofi basi ana HIV, huu ni upuuzi. Anakuwa anajeruhi furaha na hisia za watu. Pumbaffuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....
Amini amini nakwambia hilo dubwasha ni janga la kitaifa
ulimsikiliza kirefu cha HIV alichotoa...?? stop being so sensitive.....one thing I agree about Mpoki's critics is that the dude lacks proffessional ethics...
Watu wa ZeComedy kwa kweli comedy zao mpaka ucheke inabidi uvute bangi ama kulewa gongo. Anyways, poleni mnaochekeshwa na jokes za kitoto!
Hicho kirefu kilipunguza nini? basi wewe hukumuelewa au una akili kama zake. Alisema HIV maana yake HATARI IMEINGIA VITANDANI, sasa hapo kapunguza makali au kaboronga zaidi. Alitakiwa a-neutralize kwa namna nyingine kabisa. Hapo ni kama kaweka msisitizo kuwa waliokataa kupiga makofi tayari wana hatari waliyoipata vitandani. Pumbaffuuuuuuu..
hapo ndio kaboa zaidi......
Hicho kirefu kilipunguza nini? basi wewe hukumuelewa au una akili kama zake. Alisema HIV maana yake HATARI IMEINGIA VITANDANI, sasa hapo kapunguza makali au kaboronga zaidi. Alitakiwa a-neutralize kwa namna nyingine kabisa. Hapo ni kama kaweka msisitizo kuwa waliokataa kupiga makofi tayari wana hatari waliyoipata vitandani. Pumbaffuuuuuuu..
haikua too much... he did the best for show which otherwise would be boringUtani mwingi hadi unaboa. Pamoja na kwamba ukumbi una taa nzuri naona kama nazo zimekuwa too much hadi vision ya picha inakuwa mbaya. Star Tv inaoneka vibya
una matatizo makubwa sana ya uelewa na unadhani kila mtu anahitaji kuwa na kimini cha upeo kama wewe... he made the best message today ya HIVHicho kirefu kilipunguza nini? basi wewe hukumuelewa au una akili kama zake. Alisema HIV maana yake HATARI IMEINGIA VITANDANI, sasa hapo kapunguza makali au kaboronga zaidi. Alitakiwa a-neutralize kwa namna nyingine kabisa. Hapo ni kama kaweka msisitizo kuwa waliokataa kupiga makofi tayari wana hatari waliyoipata vitandani. Pumbaffuuuuuuu..
kakojoe ulaleSasa seriously ucku Mwema ata nimezima TV.. nalog out...
super sensitivity and one directional minded...