Coping Strategy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 439
- 387
kazi ya mpoki ni ......
...wabongo wako too reserved,ndo maana wanapenda kuimbwa kwenye miziki na kusifiwa baas,zaidi ya hapo ukimwambia we hunahela hata kama kweli anamaind.,kila mtu anataka asifiwe anazo,mzuri,hb n.k...
[h=3]Comedic genres - Wikipedia, the free encyclopedia[/h]sifa kuu ya comedy ni kufurahisha/kuchekesha hadhira iliyokusudiwa...kitu hicho hicho kinaweza kuwa fun kwa mmoja na kikawa offensive kwa mwengine...
even jana nimekwenda sokon kufanya manunuz,wanaume wengi tu wanaenda sokon
even jana nimekwenda sokon kufanya manunuz,wanaume wengi tu wanaenda sokon
wikipedia has never been a credible source for reference
Kiukweli jokes hizi zinategemea na mazingira uliyopo. Hata maraisi hutaniana wanapokutana wakiongea. Lakini jokes watakazofanya wakia on-air ni tofauti kabisa na zile watakazofanya off-air. Mfano, kitendo cha Mpoki leo kusema familia ya kina Bonny kuwa ni ya wabahili kuliko watu wote sijakifurahia kabisa. Tena bila kutaja ubahili wao ni upi!! Hata Bonny mwenyewe amekwazika sana. Si yeye tu na wengine pia. Ni bora angemtania Bonny pekee yake kuliko kuweka na wadogo zake wote.
Bonny ni miongoni wa ma dj wachache sana hapa Bongo wenye heshima kubwa kutokana na sanaa yake. Hivyo kusema tu ni bahiri mkubwa bila kuelezea walau kidogo ni kwa vipi ni bahiri. Kwa kweli unakuwa hujamtendea haki. Kwa hili la Bonny limenikwaza hata mimi, kwa sababu namjua Bonny in personal.
Ukweli unauma eeeeh........
Go on Mpoki......
Though I didnt watch.....but from comments I realize that you "CALLED A SPADE A SPADE"
Mkuu watu wamevunjiwa heshima hadharani we unashabikia?
Hakika kuwasema watu ktk public kama ile sio kuchekesha bali ni kukosea heshima na usiri wao wa kibinadamu. Halafu sidhani kama wale watu watakua happy tena kwenda kwenye show zijazo za K.T.M.A.