Mpoki Ulisubisya akutana na Tundu Lissu kwenye Msiba wa Profesa Sarungi, Aangua Kilio

Mpoki Ulisubisya akutana na Tundu Lissu kwenye Msiba wa Profesa Sarungi, Aangua Kilio

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Itakumbukwa kwamba kazi aliyoifanya Mpoki ya kuokoa Uhai wa Tundu Lissu pale Dodoma ilimgharimu vyeo vyote alivyokuwa navyo.

Hatimaye leo amekutana na Maiti iliyofufuka ya Tundu Lissu baada ya urefu wa miaka 7.

Hawa hapa

Screenshot_2025-03-09-23-27-35-1.png
Screenshot_2025-03-09-23-27-43-1.png
 
Itakumbukwa kwamba kazi aliyoifanya Mpoki ya kuokoa Uhai wa Tundu Lissu pale Dodoma ilimgharimu vyeo vyote alivyokuwa navyo.

Hatimaye leo amekutana na Maiti iliyofufuka ya Tundu Lissu baada ya urefu wa miaka 7.

Hawa hapa

View attachment 3265138View attachment 3265139
Hiyo video ama picha akiangua kilio iko wapi? Halafu mwambieni Lissu apungue hadi JK kamshangaa leo!!
 
Lissu ni muujiza wa Mungu unaotembea. Hata mie siku nikikutana na Lissu lazima nilie.

Nakumbuka siku Lissu amepigwa risasi nilipopata ile taarifa nilishusha sala hiyo hadi Mungu nafikiri alisema mwanangu leo umeomba.

Yote kwa yote. Tumshukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom