Mpoki Ulisubisya akutana na Tundu Lissu kwenye Msiba wa Profesa Sarungi, Aangua Kilio

Itakumbukwa kwamba kazi aliyoifanya Mpoki ya kuokoa Uhai wa Tundu Lissu pale Dodoma ilimgharimu vyeo vyote alivyokuwa navyo.

Hatimaye leo amekutana na Maiti iliyofufuka ya Tundu Lissu baada ya urefu wa miaka 7.

Hawa hapa

View attachment 3265138View attachment 3265139
Mh! You mean miaka yote hiyo hakuwahi kuona umuhimu wa kumtafuta mtu muhimu kama huyu mpaka wagongane msibani!!?
 
Je Dr mpoki amerejeshwa kazini na kurudishiwa stahiki zake?, mama mwenye huruma atende hilo, hasa katika mwezi huu wa Ramadan, endapo kama hajatendewa haki zake!
Inshaallah.
 
Kama ni kweli kwamba alipoteza kazi yake kwa sababu alitimiza wajibu wake wa kitaaluma faithfully, basi sisi kama taifa tumefika mahali pabaya sana!
Usishangae. Mpaka vyombo vya habari vimepigwa marufuku kutangaza msiba huu. Nimeshangaa sana, huwa naangalia taarifa ya habari ITV kila siku ila sikuona hata siku moja wakitangaza msiba wa mzee wetu. Akina Mafuru walindelea kutangazwa hata baada ya kuzikwa lakini siyo huyu mzee. Utawakuta wamejikunja misikitini au wamepiga goti makanisani kumbe ni watumishi wa shetani tu. Eti wamefunga. Unafunga huku chuki inatokota kifuani
Update:
Naona leo wameripoti ITV...habari ya katikati
 
Itakumbukwa kwamba kazi aliyoifanya Mpoki ya kuokoa Uhai wa Tundu Lissu pale Dodoma ilimgharimu vyeo vyote alivyokuwa navyo.

Hatimaye leo amekutana na Maiti iliyofufuka ya Tundu Lissu baada ya urefu wa miaka 7.

Hawa hapa

View attachment 3265138View attachment 3265139
Waliotaka kumdhulumu haki ya uhai roho zitaendelea kuwasuta hadi waingiapo kaburini. Si ajabu wadhulumu hawa wakatangulia na kumwacha akiendelea kuishi. Wapuuzi wachache walitaka kugeuza tofauti ya mawazo kuwa uadui wa vita ya bunduki.
 
Usishangae. Mpaka vyombo vya habari vimepigwa marufuku kutangaza msiba huu. Nimeshangaa sana, huwa naangalia taarifa ya habari ITV kila siku ila sikuona hata siku moja wakitangaza msiba wa mzee wetu. Akina Mafuru walindelea kutangazwa hata baada ya kuzikwa lakini siyo huyu mzee. Utawakuta wamejikunja misikitini au wamepiga goti makanisani kumbe ni watumishi wa shetani tu. Eti wamefunga. Unafunga huku chuki inatokota kifuani
Ni hizo mainstream media lakini ukiingia online media haswa huko you tube msiba umetangazwa.

Hata upande wa views unakuta habari ya CHADEMA ina views 10,000 hadi 20,000 wakati mkutano mkuu wa CCM views 3400.

Hata wakizuia wake wajue Tsunami huwa haizuiliki.
 
Kama ni kweli kwamba alipoteza kazi yake kwa sababu alitimiza wajibu wake wa kitaaluma faithfully, basi sisi kama taifa tumefika mahali pabaya sana!
Kumbe ulikuwa hujui. ??!
Hata mkosoaji wa madudu yaliyokuwa yakifanyika awamu ile ya Nne alionekana kama ni mhaini 😳 !

Mambo yale yakaendelea kukua mpaka awamu iliyofuata yakawa yameshazoeleka na kuonekana kama ni ya kawaida kabisa bila aibu !!
 
Itakumbukwa kwamba kazi aliyoifanya Mpoki ya kuokoa Uhai wa Tundu Lissu pale Dodoma ilimgharimu vyeo vyote alivyokuwa navyo.

Hatimaye leo amekutana na Maiti iliyofufuka ya Tundu Lissu baada ya urefu wa miaka 7.

Hawa hapa

View attachment 3265138View attachment 3265139
Huyu Mpoki ni mcha Mungu,mbingu ataziona kwa kweli,Mama Samia muone mtu huyu si mnafiki kama wengine!
 
Back
Top Bottom