ila like dude lilompiga risasi limeshalamba mchanga linasubiri kwenda motoniLissu ni muujiza wa Mungu unaotembea. Hata mie siku nikikutana na Lissu lazima nilie.
Nakumbuka siku Lissu amepigwa risasi nilipopata ile taarifa nilishusha sala hiyo hadi Mungu nafikiri alisema mwanangu leo umeomba.
Yote kwa yote. Tumshukuru Mungu.