Kwenda Ikulu ili iweje? Ukienda ikulu utaishi milele? Yule mwendawazimu alikwenda huko akadhani ataishi milele, akawa kazi yake ni kuua watu, yuko wapi sasa hivi. Ma-fisiem wenzake walikuwa wanamlia timing tu. Ona na ile miradi yake ya kihuni aliyoanzisha nyingi haina faida. L-kiwanja la ndege huko Chato limegeuka kuwa uwanja wa kuanikia pamba. Alikata miti kibao eti anajenga bwawa la umeme mwingi na wa rahisi, na unaobakia wauze nje, ona sasa badala yake wanakimbilia kununua umeme Ethiopia. Na bado. Miradi mingi alifanya itakufa bila faida yoyote.