Mpoki Ulisubisya akutana na Tundu Lissu kwenye Msiba wa Profesa Sarungi, Aangua Kilio

Kama ni kweli kwamba alipoteza kazi yake kwa sababu alitimiza wajibu wake wa kitaaluma faithfully, basi sisi kama taifa tumefika mahali pabaya sana!
 
Mtu anavaa saa mikono miwili na anahudhuria msiba kama huu unahisi anastruggle kimaisha?

Lisu anavaa hovyo siku hizi, hajiangalii kwenye kioo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…