Mpoki Ulisubisya akutana na Tundu Lissu kwenye Msiba wa Profesa Sarungi, Aangua Kilio

Aliyetaka kumuua TL na aliyemfuta kazi Mpoki ameshaoza kaburini. Ama kweli Mungu ni fundi sana.
 
Lisu miaka saba hajaweza kumtafuta mtu aliyemuokoa angalau ashukuru?
Elewa vizuri uzi mkuu. Hawajawahi kumuona akiwa mzima anatembea tangu alipoenda matibabu huko Ubelgiji. Wangeonana wapi wakati miaka yote alikuwa kitandani anaugua. Obviously watakuwa wameishawasiliana kwenye simu mara nyingi sana lakini hawajawahi kuonana live.
 
Ameen KUBWA!
Aliyetaka kumuua TL na aliyemfuta kazi Mpoki ameshaoza kaburini. Ama kweli Mungu ni fundi sana.
Mungu fundi,hupunguza vipengere!
 
Huyo aliyelia ni mwanaume?!!!! Wakati analia aliegemeza kichwa chake kwenye bega la lissu au lissu aliegemeza bega lake kwenye kichwa chake?!!!
 
Bado alitakiwa kumtafuta kwa kushukuru. Amechelewa sana
 
Kwa hiyo nayo ni taarifa ishampeleka lissu ikulu!
Kwenda Ikulu ili iweje? Ukienda ikulu utaishi milele? Yule mwendawazimu alikwenda huko akadhani ataishi milele, akawa kazi yake ni kuua watu, yuko wapi sasa hivi. Ma-fisiem wenzake walikuwa wanamlia timing tu. Ona na ile miradi yake ya kihuni aliyoanzisha nyingi haina faida. L-kiwanja la ndege huko Chato limegeuka kuwa uwanja wa kuanikia pamba. Alikata miti kibao eti anajenga bwawa la umeme mwingi na wa rahisi, na unaobakia wauze nje, ona sasa badala yake wanakimbilia kununua umeme Ethiopia. Na bado. Miradi mingi alifanya itakufa bila faida yoyote.
 
Huyo aliyelia ni mwanaume?!!!! Wakati analia aliegemeza kichwa chake kwenye bega la lissu au lissu aliegemeza bega lake kwenye kichwa chake?!!!
Wewe ni mjinga kama yule mwendawazimu wa Chato aliyekata malaki ya miti kujenga bwawa fix ambalo halitoi umeme.
 
Ulikuwa umekufa kwanza?
 
Tukufanyaje kuhusu haya maelezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…