Uchaguzi 2020 Mpwapwa tumekuchoka Mbunge wetu Lubeleje

Kama lubeleje bado ni mbunge wa mowapwa basi wana mpwapwa wapimwe Corona
 
Nimeipenda hii case study ya Mpwapwa, lkn kiuhalisia wilaya zote za Mkoa wa Dodoma ni shida ukiachilia Dodoma Mjini!

Ile STAND yao pale cha maana nnachokiona ni ule mti mkubwa linakopark NYEMBELA la Mchana kwenda TAMBI!

Barabara za hovyo, vumbi tupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wilaya inashangaza mnoo.! Ukifika pale mjini unaweza kudhani upo vijijini.Ni wilaya ambayo haikui kabisa
Na Kongwa je? Kale ka-stand kake?[emoji23]

Ila naona ile barabara inawekwa Lami, nlipita november mwaka jana nikitokea mpwapwa,

Sijui ishafika Kongwa?
Ikifika Kongwa basi huenda ikafika na Mpwapwa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda unasomea ualimu hapo Mpwapwa TTC?
 
Ukiachana na Dodoma mjini ni kama wabunge wote wa Dodoma waliobakia ni kama wapo wapo tu maana mf Kibajaji,yule aliyekuwa mtangazaji wa radio , Ndugai nk...nini wamewafanyia wapiga kura wao na watanzania kwa ujumla zaidi ya kuwa sehemu ya waliowaletea watanzania matatizo tuliyo nayo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona tuliambiwa Majimbo ya Wabunge wa CCM kama Dubai? Wabunge wa ccm wanajali sana shida za Wananchi itakuwa huko Mpwapwa barabara ziwe kama Majimbo ya Wapinzani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuja mimi mtoto wa Ilolo kukamata jimbo hapo naamini CCM itanipitisha nipige kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…