Uchaguzi 2020 Mpwapwa tumekuchoka Mbunge wetu Lubeleje

Wilaya inashangaza mnoo.! Ukifika pale mjini unaweza kudhani upo vijijini.Ni wilaya ambayo haikui kabisa
Tatizo ndiyo hao wazee kina Lubeleje kila anaye mpinga anamtishia kumpiga kipapai

In God we Trust
 
Vumbi kama pale saba saba stand dodoma

In God we Trust
 
Daaa umenikumbusha Nkamia kuna siku bungeni aliwahi kujiita mtangazaji wa BBC mstaafu

In God we Trust
 
Mbona tuliambiwa Majimbo ya Wabunge wa CCM kama Dubai? Wabunge wa ccm wanajali sana shida za Wananchi itakuwa huko Mpwapwa barabara ziwe kama Majimbo ya Wapinzani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo ni hadithi za watoto wa kindergarten tu, jaribu utembelee wilaya ya dodoma yoyote ukiiondoa ile inayo ongozwa na mwana cdm pale mjini

In God we Trust
 
Naona ngasere anapiga route ya iringa nikajua mshaekewa lami. Vipi rubi ya winza inatoka fresh maana kitambo sana sijakanyaga ardhi ya mpwapwa na dodom kwa ujumla

[emoji2398]black city
 
Good feedback. Mbunge wa Mp anaweza kuzitumia kelele hizi kama ngao na nguvu zaidi za kumsaidia kuongeza mikakati ya kuwasaidia wananchi na sio kuishia kama wapiga kelele wanavyodai kuwa Kazi yake ni kupiga meza.Hoja hii ni nzito,Siamini kuwa kazi ya Mbunge ni kupiga meza,Kama kweli ni bora asipige meza bali Apige kelele kama za Wananchi na kuwasaidia kufikisha Bungeni,vilio vyao,; vya wananchi,Maji yao,Barabara zao,Afya zao,Kilimo chao na Huduma wezeshi kwa ustawi wa mwananchi,Mwananchi wetu wa Mpwapwa.šŸ¤”Viongozi wajitafakari hasa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi mkuu 2020.
 
Mpwpwa kipindi nasoma hadi leo ukienda unaweza ukahisi mambo ni mabaya kuliko nyuma tulikotoka.Mabadiliko ni madogo kuliko mategemea.Tuwaombee Viongozi wazione fursa zaidi.
 
Tatizo lao wanaishi kwa mazoea na hawataki kubadilika
In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…