Uchaguzi 2020 Mpwapwa tumekuchoka Mbunge wetu Lubeleje

Kama wananchi wenyewe hawatapaza sauti basi hata huyo mbunge atajiona ni malaika tu na wataendelea kuteseka tu
Mpwpwa kipindi nasoma hadi leo ukienda unaweza ukahisi mambo ni mabaya kuliko nyuma tulikotoka.Mabadiliko ni madogo kuliko mategemea.Tuwaombee Viongozi wazione fursa zaidi.

In God we Trust
 
Mpwapwa barabara zote ni mikondo ya maji

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiographia ya eneo ndiyo tatizo kama kweli Mpwapa ilisahili kuwa mmji basi flyovers zilihitajika ktk hayo unayaita mapalio mikondo ya maji Mjerumani alipapenda Mpwapa kama Lushoto hivyo nia yake ilikuwa kale kasehemu kadogo nyie mkatokahuko nakuvamia kuendeleza Mpwapwa ni gharama na kuna hitaji Akili kubwa ya ziada
 
Mimi ni mwana Mpwapwa na mbunge wangu ni Lubeleje, ila safari hii akalee wajukuuu maana tumemchoka

In God we Trust
We kiboko hata wakati wa uhai wa mzindakaya uliwahi kusema ni mwanakatavi!
 
Kwa akili zako unafikiri huyo mzee anampango na ubunge tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
La 7 oyeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya 2013 na 2015 nilikua Mpwapwa kwa ajili ya msomo katika chuo fulani pale...
Wakati huo mbunge alikua Gregory Teu, kuelekea uchaguzi nikasikia kuna Mzee ambaye ameshakua mbunge kwa miaka 25 anakuja ''kumpokea kijiti'' ndugu Teu anaitwa Mzee Lubeleje... Na kweli 2015 Mzee Lubeleje akashinda na hivyo kumfanya kuwa mbunge kwa miaka 30 by now.

Mimi sina tatizo na yeye kuwa mbunge kwa muda mrefu namna hiyo.... Tatizo langu ni kwa wana Mpwapwa kushindwa kumtoa huyo bwana licha ya kushindwa kuishawishi serikali kuwaletea maendeleo wanajimbo wake.
Namimi nasemaje, kama wana_Mpwapwa wataendelea kuzubaa zubaa.... Huyo mzee awe mbunge hata kwa miaka 70 ijayo ili akamilishe 100.
Hapa tatizo lipo kwa wananchi zaidi ya lilivyo kwa mbunge wao.
 
hangaikeni naye tu ni wa kwenu huyo!!
 
Mrudisheni yule naibu waziri wa fedha
 
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…