Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aibu sana....yule alianza uenyekiti wa halmashauri mimi nipo chekechea awamu ya kwanza ya utwala wa benjamini w. mkapaNdio mkuu ni aibu sana,
Ajiandae kulogwa! Kilangila.Kuna mtia nia anakuja! Tulieni
Wanasiasa ndio maisha yetu ila siasa sio maisha ya wabishi kadhaaawengi wa vijana wa mpwapwa hawana muda wa kujihusisha na sisa,,bado awafahamu kua siasa ndo maendeleo,
Kweli anataka afie bungeniSisi wapiga kura wako tumechoshwa na kuwa na Mbunge bubu bungeni. Tulikuchagua ukawasilishe mahitaji yetu bungeni na siyo kwenda kugonga meza.
Mpwapwa miundo mbinu ya barabara ni mibovu na shida ya maji ipo palepale na wewe unaendelea kugonga meza tu.
Jiandae kabisa maana uchaguzi wa mwaka huu hapati kura zetu maana tumekuchoka.
In God we Trust