Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Huyu jamaa anajiita mpwayungu village anakera sana, Iv wewe Mpwayungu village Unajua shida na tabu za ma nesi, na watu wenye taaluma mbalimbali ambao ni watumishi wa serikali?

Lakn umekuwa mtu wa ajabu sana unadharau walimu na kuwaona kama wao ni wajinga. Acha mara moja hii tabia yako mbaya. Na wajinga wote mnao dharau hii fani ya ualimu kwa taarifa yenu walimu hatuna shida na tuna amani kabisa na kazi yetu pedwa.

#mshahara haujawahi tosha kwa mtu yeyote
 
Back
Top Bottom