Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

Labda wao wanajiona wataishi milele na madaraka yao!
Na inavyoonekana hata wale waliopotea na hawajapatikana mpaka leo ndiyo walifanyiwa hivyo na wakaliwa na wanyama wakali.
 
Wakuwaumiza na kuua ni, majambazi, maharamia na wanyanganyi, mpiga kelele mitandaoni ni wa kumtoza tu fine na vifungo!
 
Ni sahihi kumfanyia binadamu mwenzio kama hivi?..

26/6 majira ya saa 1500Hrs, nilipata kipigo kikali ambacho sijawahi kupata maishani mwangu.

Miguu haikuweza kusimama tena, mgongo ulikuwa na maumivu makali sana kwa vipigo vya UBAPA WA MAPANGA, na mafimbo.

Mabega yalikuwa kwenye maumivu makali mno kiasi cha kuhisi huenda nimevunjwa mabega maana sikuwa napata hisia za mabega na mwili.

Kwanzia CHINI ya kiuno kwenda kwenye unyayo huko ndio ilikuwa balaa. Sio magoti, sio enka, sio unyayo, vilipigwa na MAGOGO na fimbo nyingi kwa muda wa dakika 50 mpaka saa moja.

Mateso haya yalikuwa ya watu wanne, hawa walikuwa wanapiga kama wanaua NYOKA. Kila mtu kashika kifaa chake anachoona kinafaa kuniumiza.

Kisha nikaambiwa "tunakurudisha Dar, uende ukatulie". Hapo nikapata nafuu huenda nitaishi tena, nilikuwa nimevimba sana miguu, nikajua hata nikirudishwa Dar hawatanirudisha nyumbani kwangu watanitupa njiani.

Nikawa nawazia ile hali yangu vipi nitaweza kutembea? Ila hayo hayakuwa ya muhimu nikashukuru tuu kuambiwa narudishwa nyumbani.

Safari ilikuwa ndefu sana, ndani ya gari walikuwa Wanavuta sana Bangi Na kunywa Pombe, huku kukiwa kumewashwa AC ya gari. Ile hali ya AC ilikuwa inapelekea kupata maumivu makali sanaaaa.

Nilikuwa naona kama ile AC inaingia ndani kwenye MIFUPA mule nilimo vimba sana, hivyo nilikuwa nalia tuu, wananitishia kukaa kimya kuwa nawapigia makelele. Wananipiga na Chupa za Bia kuwa nitulie, niweke miguu chini.

Ilikuwa safari ndefu sana, nililia sana. Gari ikasimama, na kisha wakashuka wote nikabaki na mmoja kulia kwangu, nikamuuliza swali moja "kwani leo lini?" Akanijibu leo "Alhamisi".

Basi nikajua siku ishapinduka, kumbe ile safari toka walivyonitoa pale Arusha tulitembea usiku kucha. Basi nikiwa ndani ya ile gari, akaja mmoja ya wale walioshuka, akasema "twende ukakojoe" kumbuka hapo sikuomba kuenda kukojoa.

Basi ikabidi nijivute kwenye kiti kujaribu kushuka, nilipokanyaga unyayo wangu chini kwa mara ya kwanza nilisikia maumivu makali sana. Nikadondoka kama mzigo. Wale jamaa wakasema nawachelewesha nisimame.

Wakaanza upya kunipa kipigo, ilikuwa kipigo kizito cha mabapa ya upanga na MAKOFI, huku wakiniburuza kuelekea ndani ndani huko. Sikuweza kujua wala kuona wapi napelekwa maana nilikuwa nimevalishwa MASK wakati wote huo.

Mikononi nikiwa na PINGU, basi baada ya vuta ni kuvute ya muda, wakanifikisha mahali walipotaka, kisha nikiwa nimesimama kwa kupepesuka, ndipo nikasikia sauti kutoka MBALI ikisema "piga chumaaaaaa".

Basi nikasikia tuu kichwani mwangu Mlio wa "tiiiiiiiiiiiiiinnnnngggggg" kisha nikajikuta nimeanguka chini, damu zinatoka mdomoni, puani, masikioni. Kisha nikaona mtu ananivua Pingu kwa haraka, mwingine ananivua Mask kisha wakaondoka kwa kukimbia.

Hapo nikaanza kupambana kupata PUMZI , mana kila kitu kilisimama wakati ule, nikafosi nikapata pumzi, ndio kuanza kuona sass nipo wapi.

Ilikuwa ni msitu, na mwinuko kidogo, na Mto mbele. Nikasema hapa mimi nimepona, acha nianze kujikongoja kutoka hili eneo. Ndio nikaanza kubilingika mule porini, najivuta , ndani ya lile pori, mpaka niliposikia sauti ya gari ndipo nikajua kuna barabara upande huu.

Hapo ndio nikaelekea ule upande wa barabara, na kuenda kuketi pale kusubiri msaada wa Watu.

Jana nimepigiwa simu na Alieniokoa, alikuwa ni dereva wa zile Gari za abiria aina y "Eicher" tumezungumza mengi sana, moja ya mazungumzo yetu nikamuomba picha ya ule mto uliopo pale mbugani.

Na huo ndio Mto ambao mm nilipigwa risasi pembezoni mwake. Ni mto wenye MAMBA NA VIBOKO kama mnavyoona, ila walikaa kimya hawakuweza kunidhuru.

Msitu una wanyama wengi wakali kama SIMBA , FISI, MBWA MWITU, nikiwa navuja damu nikitafuta msaada porini ila hakuweza kunidhuru.

Huo ndio ukuu wa Mungu, haya yote nimefanyiwa na jeshi la polisi Tanzania @tanpol chini ya maagizo ya ZCO FAUSTINE JACKSON MAFWELE.

SATIVA17🫡

kuna wengine kewenye vyama vya siasa waliambiwa kugombea nafasi Fulani ya uongozi kwenye chama hiki ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi, dah, hatunao 🐒
 
Pole sana, haya ndiyo matunda hasi ya Uhuru tulioutaka, hawa wote kwa ujumla wao hawakuwahi kushika shilingi laki tano, sasa baada ya kuanza kuzishika wananchi wanakuwa adui zao wakihofia watawanyang'anya hiyo pesa.
 
Uwa nikikumbuka kila mwanadamu atalamba mchanga nabaki tu kusema Bora nile bia niishi maisha ambayo ni ya kawaida

Nisikose basic needs kwangu inatosha maisha haya yadunia bwana hayana maajabu yeyote

Kwangu Mimi nikiwa na biashara yakawaida Nina nyumba zangu mbili Nina shamba Nina usafiri sioni jipya duniani ziadi ya tamaa tu!!!
 
Kisha nikaambiwa "tunakurudisha Dar, uende ukatulie". Hapo nikapata nafuu huenda nitaishi tena, nilikuwa nimevimba sana miguu, nikajua hata nikirudishwa Dar hawatanirudisha nyumbani kwangu watanitupa njiani
Tumwachie Mungu tu, mkono wake huweza yoote
 
kuna wengine kewenye vyama vya siasa waliambiwa kugombea nafasi Fulani ya uongozi kwenye chama hiki ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi, dah, hatunao 🐒
Weka upuuzi pembeni ubinadamu ukutawale. Vaa virtual vya huyu kijana anaeishi kwamaumivu makali hofu kwenye nchi yake. Mbaya zaidi aliyemtesa bado yupo anakula maisha yeye na familia yake bila wasiwasi wowote. Yawezekana yuko juu ya Mamlaka. Ila yuko Mkuu wa Mamlaka wa yote. Kuna mpuuzi kama wewe aitwae Bia Yetu aliwahi kusema eti " ni dua la kuku". Yuko wapi sasa???
 
MBOWE UYO KAPOTEZA WENGI SANA KINA WANGWE MAWAZO, AISEE SIASA MBAYA SANA KISA U KULINDA UENYEKITI WA CHAMA CHA UPINZANI JE AKIWA RAIS SI ATAMALIZA WOTE ABAK PEKEYAKE JAMANI HUYU MCHAGA WAWAPI???/
 
AKOME KUINGILIA MAMBO YA WATU YEYE YANA MUHUSU NINI ALIYATAKA MWENYEWE
 
Weka upuuzi pembeni ubinadamu ukutawale. Vaa virtual vya huyu kijana anaeishi kwamaumivu makali hofu kwenye nchi yake. Mbaya zaidi aliyemtesa bado yupo anakula maisha yeye na familia yake bila wasiwasi wowote. Yawezekana yuko juu ya Mamlaka. Ila yuko Mkuu wa Mamlaka wa yote. Kuna mpuuzi kama wewe aitwae Bia Yetu aliwahi kusema eti " ni dua la kuku". Yuko wapi sasa???
kwani aliewapiga bit wanachama wake wengine wasithubutu kuzengea zengea kutaka kugombea nafasi yake ya uongozi, kwani kufanya hivyo ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi, yupo au hayupo?

unadhani ndugu, majamaa na marafiku za walionja sumu kwa ulimi wakapotea wanajiskiaje hivi sasa huku muungwa akiwa ana kula maisha tu bila wasiwasi wowote?

au unajikausha tu gentleman?🐒
 
MBOWE UYO KAPOTEZA WENGI SANA KINA WANGWE MAWAZO, AISEE SIASA MBAYA SANA KISA U KULINDA UENYEKITI WA CHAMA CHA UPINZANI JE AKIWA RAIS SI ATAMALIZA WOTE ABAK PEKEYAKE JAMANI HUYU MCHAGA WAWAPI???/
Aise, inauma sana na inasikitisha mno dah 🤭
 
MBOWE UYO KAPOTEZA WENGI SANA KINA WANGWE MAWAZO, AISEE SIASA MBAYA SANA KISA U KULINDA UENYEKITI WA CHAMA CHA UPINZANI JE AKIWA RAIS SI ATAMALIZA WOTE ABAK PEKEYAKE JAMANI HUYU MCHAGA WAWAPI???/
Duu! Mbowe ana nguvu zote hizo,kuizidi serikali?
Mbona serikali imadharaulika na baadhi ya watu hivi?
Mi siaminigi kama serikali inashindwa mbinu na Mbowe,aisee.
 
Back
Top Bottom