Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

Habarini wanajukwaa,

Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus.

Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe.

Sativa aliendelea kusema kuwa Faustine Mafwele na genge lake wana-unfinished business naye na kuongeza kuwa iwapo lolote litamkuta basi Mafwele anahusika.

Soma Pia: Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

hakika mama anaupiga mwingi
 
Natamani kujua huyu mafwele ni nani na ana impact gani hapa nchini,kwa sababu huyu kijana ameokotwa amejeruhiwa vibaya kiasi samaia akatoa hela za matibabu na mara zote anatamka aliyemtendea hayo ni huyu mafwele.

Kuna ugumu gani kama kuna uchunguzi unaendelea wakaanza na huyu mtu?serikali inasubiri aumize wengine iseme itamtibu tena?ana uchawi wa nchi gani huyu maana hata kama ameloga basi huo uchawi siyo wa sayari hii.
Serikali haiwezi kumuwajibisha huyo jamaa na wengineo kwasababu ni mtu muhimu na bado serikali inamuhitaji, Sio huyo tu bali wapo wengi ambao ni assets muhimu kwa serikali.

Kwenye masuala ya usalama wa nchi wapo vizuri sana na wanafanya kazi ipasavyo ila ndo hivo serikali inawatumia pia kwenye mambo machafu.
 
Yeah, yeah, it's here niqqaz! Welcome to the best of both worlds
R. Kelly (Chi-Town).

I pull up with the big boy truck, niqqa big boy drop
We be the only big boys that the big boys watch
Sing to 'em Kelly.

I got a million on that boy singin whatever on the flow
Why'all got cheddar to blow, whatever, let a niqqa know Kel's.

I'm Michael Jordan, I play for the team I own
Sing to 'em Kel'

In the memory of all our fallen soldiers (uh-huh)
We lost along the way
(ohhhhhoooh) knah msayin, ghetto to ghetto
City to city, worldwide, we got y'all, knah mean?

Mafwele is Cock-sucker can not touch us, the block love us
We got the ghetto on our back muh'fuckers.



View: https://www.youtube.com/watch?v=7Pb8VhLsfOA
 
Tumsaidie ndugu yetu Sativa jamani.....

Sativa ana matatizo ya kisaikolojia hwenda kabla ya madhila kumkuta na yamezidi baada ya madhila yale (post traumatic stress disorder).

Awe na amani ameshasikika na kila mtu kwani huyo Mafwele ndiye mwisho wa WAAMUZI WA NCHI HII ?!! 😲😲

Sativa anamkuza sana huyo mtu....

#Nchi Kwanza😍
Mtoto wa bibi kizimkazi mnafiki wewe, uko kila sehemu ukishangilia wanayofanyiwa wapinzani halafu uko hapa unamuonea huruma Sativa.

Hivi hamuwezi kutulia? mko kama wachawi, anaua halafu anaongoza kulia msibani.
 
Back
Top Bottom