Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

Kwa style hii hii watu huwa wana convert na kuwa magaidi. Huku Sweden kuna jamaa alitekwa last year seems kulikuwa na mkono wa serikali, walipomuachia jamaa almost one month after jamaa hawajui alipo lakini amefungua website ambayo anachafua sana serikali na kuibua their dirty works.
 
Kwa hiyo unataka wavamie hapo kwenye interview na kuzua taharuki?

Hata kama wana uwezo wa kufanya hivyo na hakuna wa kuwazuia, nao hawapendi kujaza watu, wanaangalia mazingira rafiki.
Kwahiyo baada ya hiyo interview aliyeyuka hapo hapo kama barafu kwamba wakashindwa kuweka mtego wa kumkamata?
Hakuna anaemtafuta wala nini anajitisha mwenyewe
 
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
Nimekuelewa sana! Kauli nzito hii.
SEREKALI ISITISHE VIONGOZI WA VYAMA, NA VYAMA VISIITISHE SEREKALI.
 
Habarini wanajukwaa,

Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus.

Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe.

Sativa aliendelea kusema kuwa Faustine Mafwele na genge lake wana-unfinished business naye na kuongeza kuwa iwapo lolote litamkuta basi Mafwele anahusika.

Soma Pia: Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

Kama ana akili huyu Sativa angelikaa kimya tu.
 
Ivi dogo kwann asiende uhamishoni
 
huyu jamaa anatafuta tu kiki nani atathibitisha kama kweli anatishiwa na huyo mafwele na wanawasiliana vipi ? nani anayemwambia hayo maneno? yaani mtu kaamua tu kuongea mnamsikiliza na kumuamini? atuonyeshe ushahidi kama kweli ameambiwa hayo maneno ili ashughuikiwe mafwele siyo mtu kuambmua tu kusema tuamini kama n kweli
 
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
Mr John , hii statement nzito sana kutoka kwa late form ANC leader.
Hayo mazingira yaliyo wa force kufikia hapo, ndicho kinachoendelea sasa. Wata wa force wafanye the same, next itakuwa ni civil war
 
Natamani kujua huyu mafwele ni nani na ana impact gani hapa nchini,kwa sababu huyu kijana ameokotwa amejeruhiwa vibaya kiasi samaia akatoa hela za matibabu na mara zote anatamka aliyemtendea hayo ni huyu mafwele.

Kuna ugumu gani kama kuna uchunguzi unaendelea wakaanza na huyu mtu?serikali inasubiri aumize wengine iseme itamtibu tena?ana uchawi wa nchi gani huyu maana hata kama ameloga basi huo uchawi siyo wa sayari hii.
Well Noted Mkuu....
 
Huyu bibi kaharibu sana amani ya nchi.watu wanaishi Kwa hofu Kila kukicha
Kosa alilolifanya ni kufungua ( ) ya mtangulizi wake na kuwafanya watu wajiachie pasi kujua mtz ukimkaribisha ukumbini lazima apenue panzia ya chumbani ili aone kilichopo uko ndani.
 
Ni
N

Nasikia huyo mafwele ndio aliowakimbiza majambazi Arusha,,panyaroad dar na wale wahuni wa mkuranga na kibiti
Ni Bora umesema umesikia. Operation ya Mkiru ilikuwa ni military. Huyo yupo polisi. Halafu planners wa operation za ndani ni ngumu kuongozwa na mtu mmoja maana zinahusisha vyombo vingi vya ndani. Pia, operation za kivita haendi polisi kuongoza. Uwanja wa vita unavyeo vyake vya kijeshi na si kipolisi.
 
Back
Top Bottom