makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ndo biashara yake hiyo, anasaidia watu, anaupload youtube, anapata hela.... mzunguko unaendelea
Hii ndio njia yake ya kutengeneza pesaDunia inahitaji watu wenye mioyo safi, wenye kuhisi maumivu ya wengine.
Tupendane, tusaidiane hata kwa kiasi kidogo.
youtube ya mambele ina fundraising....Nadhani pia ana foundation yake maana malipo ya YouTube sio makubwa kihivyo kama tunavyodhani.
Hivi mnapoandikaga hizi story zinazotaja watu majina huwa mnashindwa kuweka hata picha ya muhusika ni why?.
Kwa huyu atakuwa anaingiza hela nyingi aisee kwa hela zile anazogawa.Nadhani pia ana foundation yake maana malipo ya YouTube sio makubwa kihivyo kama tunavyodhani.
Naona umeongeza uvuvi wa akili yako kupembua yakinifu.Kwasababu tayari mwandishi ameshakuelekeza wapi unaweza kuona simulizi kamili. Usiwe mvivu kufanya utafiti kaka.