Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

wewe huwez shindana na jamhuri uyo ndo ntotelee hiyo ana makosa 7 yote yame kwiva hachomokiiiii uyu
Sheria ya Uhujumu uchumi kwa sasa inaruhusu kuzungumza. Jamaa hafungwi huyo ndio uzuri wake. Mnakubaliana kugawana na Serikali mambo yanaisha.
 
Hivi walioandika barua na kukiri wakalipa na pesa WAMETOKA JELA TAYARI????
Sheria ya Uhujumu uchumi kwa sasa inaruhusu kuzungumza. Jamaa hafungwi huyo ndio uzuri wake. Mnakubaliana kugawana na Serikali mambo yanaisha.
 
Hahaha watanzania wanapenda sana hizi, waweke pesa mahala wao wakalale wakingoja faida.

Hakuna mtu wa kukufanyia kazi ukiwa umelala nyumbani, ona sasa pesa inaenda kutaifishwa na serikali na hamtalipwa, labda mfungue kesi ya madai.
Mkuu umenena. Aliye na macho na aone na aliye na masikio na asikie.
 
Yule Jamaa Wa Forex Alikoswakoswa
 
Nguvu ya dola hiyo hiyo itamshikilia huyu ontario wa kuku
Haa😀😁😂🙄🙄😅😄
Forex Alikoswakoswa Sasa Huyu Mfuga Manyoya Kaingia
Halafu Alikuwa Anajibu Kwa Wepesi Hata Hapa Jamiiforums.com Alijiunga
 
Miamala Ya Watu Sasa Hivi Itakuwa Vp
Kiurasmi, mahakama itaamua. Ila mara nyingi kwenye utapeli, hela huwa hairudi yote. Unless kuwe na class lawsuit ya wote waliokwazwa yenye evidences kamili. Ambapo bado itakuwa ngumu kama hana uwezo wa kurudisha.
 
Mda mwingine hadi unashang'aa elimu yetu ilivyo close minded. Yaani mtu kawaza business model yake kwa nini namtaka wasimwekee watu wao kwenye usimamizi hili wafanye monitoring na consultations inapodi? Nawaza tu angekua mzungu tungekua tunasoma hadi vitabu vyake. Wengine eti wanalalamika kukaa ushuani sasa ukiwa na hela tena ukae mtaani tena?
 

Dhambi ni kwako wewe unayeamini dini,serikali haina dini
 
Tanzania MTAJI ni wajinga
 
Dhuluma haimuachi mtu salama, katika hizo 17bil na sent zetu zimo, jamaa alitukimbia baada ya kuona tumeanza kumtilia shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…