Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na kule ashaanzisha kampeni ya kushinda laki sijui me nawasomaa tu yani saza hivi wataliaaa

Ontario ashajua wajinga hawaishi kwasasa Twitter anaendelea kuwajaza ili awaingize kwenye 18 ,technic ya kugawa pesa target awakusanye nyumbu wengi ili akianza projects zake za kuwapiga within short time awe ashawatapeli na kusepa...Once a tapeli always tapeli ,Sitajuka kumuamini Ontario hata siku moja hata akisema anipe pesa nitamwambia lipa bank hakawaii kukupa pesa feki.
 
Mr kuku tofauti yake na matapeli wa mjini kina ndama,papa msofe ni ndogo.yeye kaja na kufuga kuku na kujenga mabanda unampa pesa anakufugia....hakuna biashara inayozalisha nusu kwa nusu hata siku moja yani uweke 10m halafu baada ya mda flani upate 10m.
Siku zote ukiona hivyo jua ni unapigwa tu
 
Rugemalila na seth wamejaza mawakili kibao wazuri,ila kwenye utakatishaji ni ngumu kuchomoa mana hapo unakuta anakesi karibia 20 kapewa
 
Tatizo la JF inabidi ufatishe wengi bila kuhoji.

Walioweka pesa siwote wamerejeshewa kama mkataba unavyosema tangu 2017 kuna ambaye hakulipwa.
 
Na wasirudishiwe fedha hizo Hao wajinga tu
Wapenda mseleleko

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la JF inabidi ufatishe wengi bila kuhoji.

Walioweka pesa siwote wamerejeshewa kama mkataba unavyosema tangu 2017 kuna ambaye hakulipwa.
Watu wengi waliweka pesa huko hasa wastaafu,chukulia alikua na wateja 1000 labda waliovuna ni 300 tu waliobaki ndio hawa wanaolia wamepigwa....nimesoma mkataba wake kua ukiwekeza baada ya siku 120 unapata 70%...hii faida hata barrick gold hawajawahi kupata 70% faida kwenye dhahabu iweje mr kokoliko apate kwa kufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…