rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Haa ha ha..Jamaa yule hapana aisee yani ukimwamini umeenda walahi...!! Ana story kama mil za mafanikioo na ujasiriamali wa kutapeli watu yani ile ishu ya laki ni mpango kabambe kabisaa pale kuna manyumbu watalia tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ontario ashajua wajinga hawaishi kwasasa Twitter anaendelea kuwajaza ili awaingize kwenye 18 ,technic ya kugawa pesa target awakusanye nyumbu wengi ili akianza projects zake za kuwapiga within short time awe ashawatapeli na kusepa...Once a tapeli always tapeli ,Sitajuka kumuamini Ontario hata siku moja hata akisema anipe pesa nitamwambia lipa bank hakawaii kukupa pesa feki.