Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Ukiangalia vizuri, kwenye karatasi za benki za kuweka pesa kuna sehemu inauliza dhumuni. Kitu lingine ukitaka kutoa pesa ndefu lazima uwape taarifa ili waitaarifu benki kuu na hapo ndio kizazaa huanzia
Hii niia nchi nyingi wanatumia Kutrace terrorist...!!
 
Sasa hivi rumy karudi kwa kimada wake m' nyamala na vikaptula vyake vyekundu[emoji28]
 
na kila mwenye sauti ataimba parapanda...muda ukifika.....wastaafu nawaona nawaona na pesa zenu za pension..... 😁 😁 😁 😁......ni yeye!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mliopigwa muache kutufokea humu...please !!!!!!!!!!!
 
Lazima anadanga, mweupe na bado anajichubua

Hivi serikali ilichukua kila kitu? Hivi hata gari analo kweli?
Kweli jamaa white kinoma kama anajichubua basi balaa ,yes ana kigari visaloon vidogo vidogo ,nilimkuta biafra kapaki pembeni anapakia mabegi nyuma ya buti sasa sijui alipokuwa anakaa alifukuzwa.
 
Unaongea utopolo tupu,jf imevamiwa na wajinga kama wewe...hilo swali kamuulize mwenzio mr kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…