rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Hii niia nchi nyingi wanatumia Kutrace terrorist...!!Ukiangalia vizuri, kwenye karatasi za benki za kuweka pesa kuna sehemu inauliza dhumuni. Kitu lingine ukitaka kutoa pesa ndefu lazima uwape taarifa ili waitaarifu benki kuu na hapo ndio kizazaa huanzia