Kiendacho kwa mganga hakirudi.Hivi zile za DECI zilisherudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiendacho kwa mganga hakirudi.Hivi zile za DECI zilisherudi?
Mjadala na mabishano kuhusu haya ya Mr Kuku yalisababisha nimtende mama watoto yale bwana Uchebe aliyomtendea mkewe.
Hela za deci mpk Leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Serikali imekausha pesa nzima,with assets nakadhalika!
The real dhulumati here ni government!
Waliochanga hawarudishiwi anything!
Wajinga ni wengi ukijua tu kuwatengeneza ukawaingiza line bln hzo faster tuKumbe chalii mdogo tu, 29yrs bilioni 17 mamamae acha tu aishi Oysterbay!
Wacheza upatu wako wa kila aina huyu alikuwa na wazo zuri ni kijana kajiajiri na kuajiri serikali inapaswa kumsaidia ..inaweza kupata suluhisho kubwa la ajira
Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni.
Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa mashtaka yake leo 10/08/2020 na Wakili wa Serikali muandamizi mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya. Akisomewa mashitaka yake, mshtakiwa anakabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na 60/2020, kati ya mashitaka hayo 7 yapo ya kusimamia na kuendesha biashara haramu ya upatu, kupokea maingizo ya fedha za umma bila ya kuwa na leseni na kutakatisha fedha.
Mfahamu zaidi Mr. Kuku:
Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?
Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku
Hawa ndio akili kubwaz sio kama kina Le mutuz super brand.Kumbe chalii mdogo tu, 29yrs bilioni 17 mamamae acha tu aishi Oysterbay!
Tuliwaambia kudadeki zenu
Mr kuku ni Ontario aliechangamka
Only 29 years old kijana kakusanya 17B.
Ni ujasiri ulioje.
Big up.
Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni.
Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa mashtaka yake leo 10/08/2020 na Wakili wa Serikali muandamizi mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya. Akisomewa mashitaka yake, mshtakiwa anakabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na 60/2020, kati ya mashitaka hayo 7 yapo ya kusimamia na kuendesha biashara haramu ya upatu, kupokea maingizo ya fedha za umma bila ya kuwa na leseni na kutakatisha fedha.
Mfahamu zaidi Mr. Kuku:
Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?
Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku
Serikali imejimilikisha uwezo wote wa kufanya dhambi "kihalali"!Hela za deci mpk Leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Jamaa nilishangaa anauza 2018 Jaguar F-Pace kwa 250M! Nikajiuliza kulikoni. Kumbe mambo yalishaivaSasa b17 unabakiaje bongo tena?
Hahahah hio inaitwa Criminal in disguise 😂😂😂 !!! Yani unatiwa hatiani ukiwa huelewi kwanini unatiwa mbaroni.Sasa b17 unabakiaje bongo tena?
Mwanangu kanipigia simu mda si mrefu. Nilimrushia hio clip! Ameshusha pumzi ya nguvu maana aliweka 3.5M...Nilichomjibu ni kuwa hio hela itafanyia shughuli za kizalendo kujengea barabara na mashule so asiwe na wasiwasi! Iko katika mikono salama.Hakuna pesa ya mtindo huo Mkuu, kila siku wanalizwa lakin hayakomi tu tangu lini pesa inatafutwa kwa kutumia vikundi, eti mtu ufanye nae share, vicoba, na sijui jumuiya hapa wajanja ndio watakao kula. Baadae inaanza migogoro na maujinga kibao hata kampuni tu zinaleta shida sembuse hayo ya kumwamini mtu.
Pesa hutafutwa na mtu binafsi na si vinginevyo.