Jibu alafu utuambie nani tapeli sasa. Serikali ambayo imechukua pesa yote bila kurudishia waathirika na kuua mradi au.Stupid and silly question.
Kosa ni kutokuwa na leseni, sheria haiangalii nia yako njema na uwepo wa mradi, inachoangalia je ikitokea project imeshindwa kuendelea wale uliochukua hela yao "utawabeba kwa mbereko ipi" na ndio hapo serikali inaingia na ndio maana unaona hata faini aliyopigwa ni ya kiaina ili arudi uraiani akapambane na kulijenga Taifa kama akiweza kulipa maana ni mpambanaji.Hizi kesi sa kukubali mashitaka na kulipa fine ni mbinu za kuibia watu pesa.
Binafsi mpaka leo sijaelewa kosa la mr kuku. Maana kama mradi ulikuwa active na watu wanawekeza kwa free consent sasa kosa lipo wapi?
Na wanaowekeza kwenye hisa wanakula kwa kwa nini?ukisoma maandiko yameandikwa vizuri na kuelezea
kuwa kila mtuu atakula kwa jasho lake
sema walimwengu wamebadilisha badala ya kula kwa jasho wanataka mteremkoo
mr kuku kashaa asiwa na hali yake na walio taka ule mteremkoo wakee wanalia na kusag meno
hawakusikia na walakusoma maandiko hakika kuku kaliwa na mchele
Ndo Hakimu ameamua eti kiasi hichohicho ndo kiwe faini, kwa hiyo walitaka tu hela zake...huyo ndo Mzee wa Chato, asikuone una sh.100 bank...anapita nayo!Hicho kiasi cha 5.4 bilioni kilichopo kwenye acc ya mshtakiwa ambacho kinahamishiwa kwenye akaunti ya DPP ndio faini yenyewe au ndio kutaifisha faini ipo palepale?
Nadhani hilo suala linazungumzika wangemtafuta wakamwelekeza namna Bora ya kufanya biashara yake bila kufika mbaliKosa ni kutokuwa na leseni, sheria haiangalii nia yako njema na uwepo wa mradi, inachoangalia je ikitokea project imeshindwa kuendelea wale uliochukua hela yao "utawabeba kwa mbereko ipi" na ndio hapo serikali inaingia na ndio maana unaona hata faini aliyopigwa ni ya kiaina ili arudi uraiani akapambane na kulijenga Taifa kama akiweza kulipa maana ni mpambanaji
Hicho wanakitunza asije akakitoa nadhani kuna mambo mengine ya kitaalam yanafanyika baada ya kesi ili kuona namna ya kuwasiliana na wadau waliochukuliwa fedha zaoHicho kiasi cha 5.4 bilioni kilichopo kwenye acc ya mshtakiwa ambacho kinahamishiwa kwenye akaunti ya DPP ndio faini yenyewe au ndio kutaifisha faini ipo palepale?
Na wameshikilia 5billion labda watakaa nae sasa kuangalia anarudishaje hizo fedha japokuwa hawezi kurudi kwa kasi aliyokuwa nayo maana tayari wateja na watu aliokuwa nao kwenye mzunguuko wake hawatakuwa kama awali kwa upande wa ushirikiano wa kibiasharaNadhani hilo suala linazungumzika wangemtafuta wakamwelekeza namna Bora ya kufanya biashara yake bila kufika mbali
Ona sasa biashara imekufa serikali itakosa Kodi na ajira alizotengeneza nazo zimepotea
Amini boss...!! Yani husdaaa hasaaNdiyo maana Africa ukimuona kijana ana miaka 30 halafu ni milionea muheshimu Sana.
Maana mishale aliyokwepa kuanzia ndugu wenye wivu na mamlaka zenye roho mbaya
Jidanganye tu mzee baba,nenda kawaulize wale wa DESI baada ya kujifanya wanafuatilia pesa zao waliwekwa ndani na kufunguliwa mashtaka mpk leo hawataki kujua khs pesa hizo.Hicho wanakitunza asije akakitoa nadhani kuna mambo mengine ya kitaalam yanafanyika baada ya kesi ili kuona namna ya kuwasiliana na wadau waliochukuliwa fedha zao
Inatakiwa iwe hivyo lakini waulize wateja wa DESI walirudishiwa pesa zao baada ya hukumu ya waliokuwa viongozi wa hiyo taasisi?Hiyo pesa aliyopewa DPP wanarudishiwa walioliwa au inaenda wapi?
Bora hela apewe dogo tu maana mradi upo active pengine anaweza kulipa hata kidogo kuliko sasa hivi kikosa kabisa na pesa kwenda kwenye SGRInatakiwa iwe hivyo lakini waulize wateja wa DESI walirudishiwa pesa zao baada ya hukumu ya waliokuwa viongozi wa hiyo taasisi?
Wewe kosea ndo utajua tuko nyuma yako au vipiMr kuku leo hii ameshindwa lipa faini ya 5 million?
Hata kama wamepita na hizo za kwenye account, ina maana hakuwa na upande wa pili...
Pesa za wajinga kwa ufupi,unawekezaje ekla sehemu chafu na bila kupata ushauri wa kutosha ndo ya qnet hayo sasaHizo bilioni 5.4 ambazo serikali imezichukua kwenye account ya jamaa ni pesa za wananchi na sio za huyo jamaa. Ok, tumeshaelewa
Kipenyo cha darasa la 7 au kipenyo ganiHamjui kitu. Mr Kuku ni Afisa Kipenyo huyo
Cha darasa la 7 ndiyokipenyo cha darasa la 7 au kipenyo gani
DuhSasa si kwenye akaunti kuna iyo Billion 5.4 sasa iyo 5 itumike kama Fidia hafu iyo pont 4 (Mil 400) jamaa awape Mahakama Mil 5 yao hafu ibaki Mil 395...
Mkuu kuna mtu kam mandela alifungwa miaka 27 na hakupoteza ndo iwe iyo miak mitani au kumi??Kwasasa ana miaka 29 akifungwa miaka 5 anatoka akiwa na 34.
Kapoteza mwelekeo.
Tukitoka hapo tuseme vijana wajiajiriHicho kiasi cha 5.4 bilioni kilichopo kwenye acc ya mshtakiwa ambacho kinahamishiwa kwenye akaunti ya DPP ndio faini yenyewe au ndio kutaifisha faini ipo palepale?