Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

Stupid and silly question.
Jibu alafu utuambie nani tapeli sasa. Serikali ambayo imechukua pesa yote bila kurudishia waathirika na kuua mradi au.

Mr. Kuku ambaye alikuwa na uwezo wa kuwalipa walau wachache na kuendelea na mradi.
 
Hizi kesi sa kukubali mashitaka na kulipa fine ni mbinu za kuibia watu pesa.

Binafsi mpaka leo sijaelewa kosa la mr kuku. Maana kama mradi ulikuwa active na watu wanawekeza kwa free consent sasa kosa lipo wapi?
Kosa ni kutokuwa na leseni, sheria haiangalii nia yako njema na uwepo wa mradi, inachoangalia je ikitokea project imeshindwa kuendelea wale uliochukua hela yao "utawabeba kwa mbereko ipi" na ndio hapo serikali inaingia na ndio maana unaona hata faini aliyopigwa ni ya kiaina ili arudi uraiani akapambane na kulijenga Taifa kama akiweza kulipa maana ni mpambanaji.
 
ukisoma maandiko yameandikwa vizuri na kuelezea
kuwa kila mtuu atakula kwa jasho lake
sema walimwengu wamebadilisha badala ya kula kwa jasho wanataka mteremkoo

mr kuku kashaa asiwa na hali yake na walio taka ule mteremkoo wakee wanalia na kusag meno
hawakusikia na walakusoma maandiko hakika kuku kaliwa na mchele
Na wanaowekeza kwenye hisa wanakula kwa kwa nini?
 
Hicho kiasi cha 5.4 bilioni kilichopo kwenye acc ya mshtakiwa ambacho kinahamishiwa kwenye akaunti ya DPP ndio faini yenyewe au ndio kutaifisha faini ipo palepale?
Ndo Hakimu ameamua eti kiasi hichohicho ndo kiwe faini, kwa hiyo walitaka tu hela zake...huyo ndo Mzee wa Chato, asikuone una sh.100 bank...anapita nayo!
 
Kosa ni kutokuwa na leseni, sheria haiangalii nia yako njema na uwepo wa mradi, inachoangalia je ikitokea project imeshindwa kuendelea wale uliochukua hela yao "utawabeba kwa mbereko ipi" na ndio hapo serikali inaingia na ndio maana unaona hata faini aliyopigwa ni ya kiaina ili arudi uraiani akapambane na kulijenga Taifa kama akiweza kulipa maana ni mpambanaji
Nadhani hilo suala linazungumzika wangemtafuta wakamwelekeza namna Bora ya kufanya biashara yake bila kufika mbali

Ona sasa biashara imekufa serikali itakosa Kodi na ajira alizotengeneza nazo zimepotea
 
Hicho kiasi cha 5.4 bilioni kilichopo kwenye acc ya mshtakiwa ambacho kinahamishiwa kwenye akaunti ya DPP ndio faini yenyewe au ndio kutaifisha faini ipo palepale?
Hicho wanakitunza asije akakitoa nadhani kuna mambo mengine ya kitaalam yanafanyika baada ya kesi ili kuona namna ya kuwasiliana na wadau waliochukuliwa fedha zao
 
Nadhani hilo suala linazungumzika wangemtafuta wakamwelekeza namna Bora ya kufanya biashara yake bila kufika mbali

Ona sasa biashara imekufa serikali itakosa Kodi na ajira alizotengeneza nazo zimepotea
Na wameshikilia 5billion labda watakaa nae sasa kuangalia anarudishaje hizo fedha japokuwa hawezi kurudi kwa kasi aliyokuwa nayo maana tayari wateja na watu aliokuwa nao kwenye mzunguuko wake hawatakuwa kama awali kwa upande wa ushirikiano wa kibiashara
 
Hicho wanakitunza asije akakitoa nadhani kuna mambo mengine ya kitaalam yanafanyika baada ya kesi ili kuona namna ya kuwasiliana na wadau waliochukuliwa fedha zao
Jidanganye tu mzee baba,nenda kawaulize wale wa DESI baada ya kujifanya wanafuatilia pesa zao waliwekwa ndani na kufunguliwa mashtaka mpk leo hawataki kujua khs pesa hizo.
 
Inatakiwa iwe hivyo lakini waulize wateja wa DESI walirudishiwa pesa zao baada ya hukumu ya waliokuwa viongozi wa hiyo taasisi?
Bora hela apewe dogo tu maana mradi upo active pengine anaweza kulipa hata kidogo kuliko sasa hivi kikosa kabisa na pesa kwenda kwenye SGR
 
Mr kuku leo hii ameshindwa lipa faini ya 5 million?
Hata kama wamepita na hizo za kwenye account, ina maana hakuwa na upande wa pili...
Wewe kosea ndo utajua tuko nyuma yako au vipi
 
Hizo bilioni 5.4 ambazo serikali imezichukua kwenye account ya jamaa ni pesa za wananchi na sio za huyo jamaa. Ok, tumeshaelewa
Pesa za wajinga kwa ufupi,unawekezaje ekla sehemu chafu na bila kupata ushauri wa kutosha ndo ya qnet hayo sasa
 
Viongozi wakowapi na vitu kama hivi kukomesha kabisa ni kutoa adhabu kubwa Zaidi,lakini ya miaka 5 mtu amekusanya billion ya ela ni upuuzi mtupu
 
Kwasasa ana miaka 29 akifungwa miaka 5 anatoka akiwa na 34.

Kapoteza mwelekeo.
Mkuu kuna mtu kam mandela alifungwa miaka 27 na hakupoteza ndo iwe iyo miak mitani au kumi??
Ya mungu mengi mkuu
 
Back
Top Bottom