Inategemea unaongelea kwa point ipi ila kwangu naona jamaa alikuwa anafanya kitu halali kbsa. Zaidi ya hapo ni changamoto za kawaida ambazo zingeweza kutatuliwa bila hta kwenda mahakamani.unajaribu kuhalalisha.. Hata hapa Bongo hizo unazoziita crowd funding zipo ila unatakiwa ufuate taratibu za kisheria za Masoko ya Hisa na Mitaji.
1.Recommendation za DPP ni zipi?You are shaming the government bila kujua all recommendations za DPP??? Imagine kama waathirika wameamua kutofuatilia fedha zao???
People walioshirikiana na Mr Kuku wote wana makosa kisheria. Je hilo unatambua!??? In short, they involved themselves in a scandalous, illegal business ambapo wameitia hasara serikali na pia kungetokea madhara lazima serikali ndiyo ingewajibika. And Mr Kuku knows it ndiyo maana kaamua kuwa "gentlehuman".1.Recommendation za DPP ni zipi?
2.Ni kifungu gani cha sheria kinampa power DPP ku- burgain na mtuhumiwa/mhalifu
3.Assume kwamba wananchi wameamua kufuatilia watazipata?
4.Fidia huwa analipwa mwathirika kwa mujibu wa sheria, serikali imeamua kujifidia fedha badala ya wananchi waathirika is it fair?
5.Kuna tofauti gani kati ya Mr kuku na gvt
Huoni kwamba wote ni waporaji ila mmoja amekosa mamlaka na mwingine anatumia mamlaka kupora haki ya wananchi?
Swali ni Je fedha
ZIMETAIFISHWA
au ZIMEFIDIWA?
Kama "zimetaifishwa," ni halali kwa serikali kuzichukua, lakini kama ni "Fidia" zinakwendaje hazina? zinapaswa kufidiwa kwa waathirika.
Yaani serikali inafidiwa kwa lipi hapo kama sio wizi na unyang'anyi?!
kama ni kitu halali basi angeshinda kesi.Inategemea unaongelea kwa point ipi ila kwangu naona jamaa alikuwa anafanya kitu halali kbsa. Zaidi ya hapo ni changamoto za kawaida ambazo zingeweza kutatuliwa bila hta kwenda mahakamani.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Sheria inataka unapokuwa na nia ya kukusanya mtaji toka kwa jamii lazima uombe kibali,Crowd funding sio utapeli usimsingizie dogo! Wawekezaji wote walikuwa wanalipwa hela zao kwa wakati sasa utapeli hpo uko wapi?
Hivi wale wanaopokea pesa kuwatradia watu kwenye Forex wao hii sharia haiwahusu.
Kosa halisahihishwi kwa kosaPeople walioshirikiana na Mr Kuku wote wana makosa kisheria. Je hilo unatambua!??? In short, they involved themselves in a scandalous, illegal business ambapo wameitia hasara serikali na pia kungetokea madhara lazima serikali ndiyo ingewajibika. And Mr Kuku knows it ndiyo maana kaamua kuwa "gentlehuman".
Last but not least, #JPM5, tuifumue katiba ("tuiweke pembeni kidogo" ~ Mstaafu Mwinyi) ili JPM aongoze hadi aamue tu kumwachia Mr Majaliwa.
Serikali isiporudishia watu waliowekeza fedha zao, huo ni ujambazi tu.1.Recommendation za DPP ni zipi?
2.Ni kifungu gani cha sheria kinampa power DPP ku- burgain na mtuhumiwa/mhalifu
3.Assume kwamba wananchi wameamua kufuatilia watazipata?
4.Fidia huwa analipwa mwathirika kwa mujibu wa sheria, serikali imeamua kujifidia fedha badala ya wananchi waathirika is it fair?
5.Kuna tofauti gani kati ya Mr kuku na gvt
Huoni kwamba wote ni waporaji ila mmoja amekosa mamlaka na mwingine anatumia mamlaka kupora haki ya wananchi?
Swali ni Je fedha
ZIMETAIFISHWA
au ZIMEFIDIWA?
Kama "zimetaifishwa," ni halali kwa serikali kuzichukua, lakini kama ni "Fidia" zinakwendaje hazina? zinapaswa kufidiwa kwa waathirika.
Yaani serikali inafidiwa kwa lipi hapo kama sio wizi na unyang'anyi?!
Nasisitiza ccm ni janga na chanzo cha umasikini kwa watanzania.
Sasa wewe unaejua sheria ndio ungeanza kunielimisha ili nikienda mahakama ya lumumba nisifungwe.
Serikali isiporudishia watu waliowekeza fedha zao, huo ni ujambazi tu.
Plain and simple.
Serikali ya CCM saiz wezi tu. Hizo nil 5.4ni za wananchi,walipaswa kuridishiwa. Siku hizi ukifikishwa mahakamni kama una pesa ni eidha uwape au ufie jela
Mkuu, kafungue shauri mahakamani ili udai fedha zako.1.Recommendation za DPP ni zipi?
2.Ni kifungu gani cha sheria kinampa power DPP ku- burgain na mtuhumiwa/mhalifu
3.Assume kwamba wananchi wameamua kufuatilia watazipata?
4.Fidia huwa analipwa mwathirika kwa mujibu wa sheria, serikali imeamua kujifidia fedha badala ya wananchi waathirika is it fair?
5.Kuna tofauti gani kati ya Mr kuku na gvt
Huoni kwamba wote ni waporaji ila mmoja amekosa mamlaka na mwingine anatumia mamlaka kupora haki ya wananchi?
Swali ni Je fedha
ZIMETAIFISHWA
au ZIMEFIDIWA?
Kama "zimetaifishwa," ni halali kwa serikali kuzichukua, lakini kama ni "Fidia" zinakwendaje hazina? zinapaswa kufidiwa kwa waathirika.
Yaani serikali inafidiwa kwa lipi hapo kama sio wizi na unyang'anyi?!
"CCM ni jengo la taifa" --- rekebisha hapo. Halafu kuhusu utaifishaji, jua sheria kidogo mkuu. Wewe ukienda mahakamani hata kama ni shahidi lazima upigwe miaka hata minne nikuonavyo. Ujuaji ushakupoteza tayari.Kosa halisahihishwi kwa kosa
Kama wananchi wamevunja sheria serikali kwa kuchukua fedha zao wamevunja sheria pia
"Kama kungetokea madhara"
Hii kauli haina uzito wowote kisheria kwasababu ni assumption
ccm ni janga la Taifa.
Hakuna FIDIA wala MJUKUU wake. Ile kitu ni skendo na inapaswa kutaifishwa. Ningeshauri hizo mihela zihamishiwe office ya DPP ili apate resources za kuwakwanyua watu ambao kwa muda mrefu sana walikuwa wamedhani kuiweka nchi yetu viganjani mwao.mkuu, kafungue shauri mahakamani udai fedha zako.
Hapo kwenye fidia hapo pagumu, je una orodha ya watu wote wanaotakiwa kufidiwa? Je hiyo orodha haitakuwa na watu feki watakaoongezwa ili nao wale ruzuku?
Are you sure, au kwa vile Mr Mzungu hakufikisha votes ndiyo una mihasira na nusu!!??Serikali isiporudishia watu waliowekeza fedha zao, huo ni ujambazi tu.
Plain and simple.
Nasisitiza ccm ni janga na chanzo cha umasikini kwa watanzania."CCM ni jengo la taifa" --- rekebisha hapo. Halafu kuhusu utaifishaji, jua sheria kidogo mkuu. Wewe ukienda mahakamani hata kama ni shahidi lazima upigwe miaka hata minne nikuonavyo. Ujuaji ushakupoteza tayari.
Wewe hata ungeelimishwa na wajumbe maalum wateule kutoka Firdausi huezi kuelewa.Nasisitiza ccm ni janga na chanzo cha umasikini kwa watanzania.
Sasa wewe unaejua sheria ndio ungeanza kunielimisha ili nikienda mahakama ya lumumba nisifungwe.
Labda kama ni elimu ya kuiba kuraWewe hata ungeelimishwa na wajumbe maalum wateule kutoka Firdausi huezi kuelewa.
Kweli aisee maana walikwenda mpaka kwa Pinda wakaambiwa kesi ipo mahakamani, nimesema hivyo kutokana na lugha iliyotumika kwamba fedha imehamishiwa kwenye a/c ya DPP wakati sehemu zingine za media wametoa taarifa zimetaifishwa. Si unajua tena upambaji wa lugha kama vile mtu aseme "amechukua bila ruhusa ya mwenye mali" na mwingine aseme "ameiba"Jidanganye tu mzee baba,nenda kawaulize wale wa DESI baada ya kujifanya wanafuatilia pesa zao waliwekwa ndani na kufunguliwa mashtaka mpk leo hawataki kujua khs pesa hizo.
Wapi nimesema alienda mwenyewe kusema ana mamilioni ya dola benki?
Umeacha kujadili hoja ya lack of confidentiality in Tanzanian banking systems, unarusha matope tu na kutegemea yataganda.
Ndio ile iliyokatwa katwa nn?Hiyyo pesa DPP kaishaikwapua mapema na imeshaingia bank kuu kwa maelezo kutoka juu.
hahahahaCha darasa la 7 ndiyo
huyo mr kuku kwanza yeye ni mkosaji sasa serikali inachofnya inachukua kwanza ulichonacho,ni kama tunavosikia kutaifishwa mali za mtuhumiwaSerikali ingejuaje kwamba Mzee wako anataka kuondoa mamilioni ya madola NMB bila ya yeye kuwaambia ? JIBU!
Kama walimuomba asiyatoe ina maana alikuwa na utashi wa kuyatoa. Kwa nini hakuyatoa kimya kimya? JIBU!
Umesema "Kuweka hela benki za Tanzania ni risk. Muda wowote wakizitaka wanazichukua. Bila mjadala mrefu."
Umejuaje DPP, Mahakama, Polisi na Mr. Kuku wamechuku hela hizi bila mjadala mrefu? JIBU!