Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

unajaribu kuhalalisha.. Hata hapa Bongo hizo unazoziita crowd funding zipo ila unatakiwa ufuate taratibu za kisheria za Masoko ya Hisa na Mitaji.
Inategemea unaongelea kwa point ipi ila kwangu naona jamaa alikuwa anafanya kitu halali kbsa. Zaidi ya hapo ni changamoto za kawaida ambazo zingeweza kutatuliwa bila hta kwenda mahakamani.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
You are shaming the government bila kujua all recommendations za DPP??? Imagine kama waathirika wameamua kutofuatilia fedha zao???
1.Recommendation za DPP ni zipi?
2.Ni kifungu gani cha sheria kinampa power DPP ku- burgain na mtuhumiwa/mhalifu
3.Assume kwamba wananchi wameamua kufuatilia watazipata?
4.Fidia huwa analipwa mwathirika kwa mujibu wa sheria, serikali imeamua kujifidia fedha badala ya wananchi waathirika is it fair?
5.Kuna tofauti gani kati ya Mr kuku na gvt
Huoni kwamba wote ni waporaji ila mmoja amekosa mamlaka na mwingine anatumia mamlaka kupora haki ya wananchi?

Swali ni Je fedha
ZIMETAIFISHWA
au ZIMEFIDIWA?

Kama "zimetaifishwa," ni halali kwa serikali kuzichukua, lakini kama ni "Fidia" zinakwendaje hazina? zinapaswa kufidiwa kwa waathirika.
Yaani serikali inafidiwa kwa lipi hapo kama sio wizi na unyang'anyi?!
 
People walioshirikiana na Mr Kuku wote wana makosa kisheria. Je hilo unatambua!??? In short, they involved themselves in a scandalous, illegal business ambapo wameitia hasara serikali na pia kungetokea madhara lazima serikali ndiyo ingewajibika. And Mr Kuku knows it ndiyo maana kaamua kuwa "gentlehuman".

Last but not least, #JPM5, tuifumue katiba ("tuiweke pembeni kidogo" ~ Mstaafu Mwinyi) ili JPM aongoze hadi aamue tu kumwachia Mr Majaliwa.
 
Inategemea unaongelea kwa point ipi ila kwangu naona jamaa alikuwa anafanya kitu halali kbsa. Zaidi ya hapo ni changamoto za kawaida ambazo zingeweza kutatuliwa bila hta kwenda mahakamani.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
kama ni kitu halali basi angeshinda kesi.
kwa kifupi inavyoonekana kuna watu wamepigwa pesa na wakalalamika na katika kufuatilia akakutwa na hatia na rungu likamdondokea.
My take:
Kwenye Bunge inabidi watunge sheria zitakazosimamia na kusaidia kuuanzisha na kuuratibu huu mfumo wa "Crowd Funding"
 
Crowd funding sio utapeli usimsingizie dogo! Wawekezaji wote walikuwa wanalipwa hela zao kwa wakati sasa utapeli hpo uko wapi?
Sheria inataka unapokuwa na nia ya kukusanya mtaji toka kwa jamii lazima uombe kibali,

Utasema unataka kukusanya kiasi gani na kwa muda gani,

Ukishatimiza malengo yako unafunga zoezi.

Kosa la Mr. Kuku ni kukusanya mtaji bila kuwa na kibali na zoezi lake halikuwa na ukomo lilikuwa endelevu.
 
People walioshirikiana na Mr Kuku wote wana makosa kisheria. Je hilo unatambua!??? In short, they involved themselves in a scandalous, illegal business ambapo wameitia hasara serikali na pia kungetokea madhara lazima serikali ndiyo ingewajibika. And Mr Kuku knows it ndiyo maana kaamua kuwa "gentlehuman".

Last but not least, #JPM5, tuifumue katiba ("tuiweke pembeni kidogo" ~ Mstaafu Mwinyi) ili JPM aongoze hadi aamue tu kumwachia Mr Majaliwa.
Kosa halisahihishwi kwa kosa
Kama wananchi wamevunja sheria serikali kwa kuchukua fedha zao wamevunja sheria pia

"Kama kungetokea madhara"
Hii kauli haina uzito wowote kisheria kwasababu ni assumption

ccm ni janga la Taifa.
 
1.Recommendation za DPP ni zipi?
2.Ni kifungu gani cha sheria kinampa power DPP ku- burgain na mtuhumiwa/mhalifu
3.Assume kwamba wananchi wameamua kufuatilia watazipata?
4.Fidia huwa analipwa mwathirika kwa mujibu wa sheria, serikali imeamua kujifidia fedha badala ya wananchi waathirika is it fair?
5.Kuna tofauti gani kati ya Mr kuku na gvt
Huoni kwamba wote ni waporaji ila mmoja amekosa mamlaka na mwingine anatumia mamlaka kupora haki ya wananchi?

Swali ni Je fedha
ZIMETAIFISHWA
au ZIMEFIDIWA?

Kama "zimetaifishwa," ni halali kwa serikali kuzichukua, lakini kama ni "Fidia" zinakwendaje hazina? zinapaswa kufidiwa kwa waathirika.
Yaani serikali inafidiwa kwa lipi hapo kama sio wizi na unyang'anyi?!
Serikali isiporudishia watu waliowekeza fedha zao, huo ni ujambazi tu.

Plain and simple.
 
Nasisitiza ccm ni janga na chanzo cha umasikini kwa watanzania.

Sasa wewe unaejua sheria ndio ungeanza kunielimisha ili nikienda mahakama ya lumumba nisifungwe.

Serikali ya CCM saiz wezi tu. Hizo nil 5.4ni za wananchi,walipaswa kuridishiwa. Siku hizi ukifikishwa mahakamni kama una pesa ni eidha uwape au ufie jela
1.Recommendation za DPP ni zipi?
2.Ni kifungu gani cha sheria kinampa power DPP ku- burgain na mtuhumiwa/mhalifu
3.Assume kwamba wananchi wameamua kufuatilia watazipata?
4.Fidia huwa analipwa mwathirika kwa mujibu wa sheria, serikali imeamua kujifidia fedha badala ya wananchi waathirika is it fair?
5.Kuna tofauti gani kati ya Mr kuku na gvt
Huoni kwamba wote ni waporaji ila mmoja amekosa mamlaka na mwingine anatumia mamlaka kupora haki ya wananchi?

Swali ni Je fedha
ZIMETAIFISHWA
au ZIMEFIDIWA?

Kama "zimetaifishwa," ni halali kwa serikali kuzichukua, lakini kama ni "Fidia" zinakwendaje hazina? zinapaswa kufidiwa kwa waathirika.
Yaani serikali inafidiwa kwa lipi hapo kama sio wizi na unyang'anyi?!
Mkuu, kafungue shauri mahakamani ili udai fedha zako.
Hapo kwenye fidia hapo pagumu, je una orodha ya watu wote wanaotakiwa kufidiwa?
Je hiyo orodha haitakuwa na watu feki watakaoongezwa ili nao wale fedha za fidia? Hii italeta upigaji.
My take:
Mfumo wa "Crowd Funding" sio mbaya kivile, hivyo ni muda sasa Bunge litunge sheria zitakazosaidia kuusimamia na kuuratibu huu mfumo wa kukusanya mitaji ya biashara kupitia "Crowd Funding"
ila kama ni Ponzi Scheme na Pyramid Scheme hizi zipigwe marufuku kwa nguvu zote. Ni hatari kwa usalama wa nchi.
 
Kosa halisahihishwi kwa kosa
Kama wananchi wamevunja sheria serikali kwa kuchukua fedha zao wamevunja sheria pia

"Kama kungetokea madhara"
Hii kauli haina uzito wowote kisheria kwasababu ni assumption

ccm ni janga la Taifa.
"CCM ni jengo la taifa" --- rekebisha hapo. Halafu kuhusu utaifishaji, jua sheria kidogo mkuu. Wewe ukienda mahakamani hata kama ni shahidi lazima upigwe miaka hata minne nikuonavyo. Ujuaji ushakupoteza tayari.
 
mkuu, kafungue shauri mahakamani udai fedha zako.
Hapo kwenye fidia hapo pagumu, je una orodha ya watu wote wanaotakiwa kufidiwa? Je hiyo orodha haitakuwa na watu feki watakaoongezwa ili nao wale ruzuku?
Hakuna FIDIA wala MJUKUU wake. Ile kitu ni skendo na inapaswa kutaifishwa. Ningeshauri hizo mihela zihamishiwe office ya DPP ili apate resources za kuwakwanyua watu ambao kwa muda mrefu sana walikuwa wamedhani kuiweka nchi yetu viganjani mwao.
 
"CCM ni jengo la taifa" --- rekebisha hapo. Halafu kuhusu utaifishaji, jua sheria kidogo mkuu. Wewe ukienda mahakamani hata kama ni shahidi lazima upigwe miaka hata minne nikuonavyo. Ujuaji ushakupoteza tayari.
Nasisitiza ccm ni janga na chanzo cha umasikini kwa watanzania.

Sasa wewe unaejua sheria ndio ungeanza kunielimisha ili nikienda mahakama ya lumumba nisifungwe.
 
Nasisitiza ccm ni janga na chanzo cha umasikini kwa watanzania.

Sasa wewe unaejua sheria ndio ungeanza kunielimisha ili nikienda mahakama ya lumumba nisifungwe.
Wewe hata ungeelimishwa na wajumbe maalum wateule kutoka Firdausi huezi kuelewa.
 
Jidanganye tu mzee baba,nenda kawaulize wale wa DESI baada ya kujifanya wanafuatilia pesa zao waliwekwa ndani na kufunguliwa mashtaka mpk leo hawataki kujua khs pesa hizo.
Kweli aisee maana walikwenda mpaka kwa Pinda wakaambiwa kesi ipo mahakamani, nimesema hivyo kutokana na lugha iliyotumika kwamba fedha imehamishiwa kwenye a/c ya DPP wakati sehemu zingine za media wametoa taarifa zimetaifishwa. Si unajua tena upambaji wa lugha kama vile mtu aseme "amechukua bila ruhusa ya mwenye mali" na mwingine aseme "ameiba"
 
Wapi nimesema alienda mwenyewe kusema ana mamilioni ya dola benki?

Umeacha kujadili hoja ya lack of confidentiality in Tanzanian banking systems, unarusha matope tu na kutegemea yataganda.

Serikali ingejuaje kwamba Mzee wako anataka kuondoa mamilioni ya madola NMB bila ya yeye kuwaambia ? JIBU!

Kama walimuomba asiyatoe ina maana alikuwa na utashi wa kuyatoa. Kwa nini hakuyatoa kimya kimya? JIBU!

Umesema "Kuweka hela benki za Tanzania ni risk. Muda wowote wakizitaka wanazichukua. Bila mjadala mrefu."

Umejuaje DPP, Mahakama, Polisi na Mr. Kuku wamechuku hela hizi bila mjadala mrefu? JIBU!
 
huyo mr kuku kwanza yeye ni mkosaji sasa serikali inachofnya inachukua kwanza ulichonacho,ni kama tunavosikia kutaifishwa mali za mtuhumiwa
 
Back
Top Bottom