Inategemea unaongelea kwa point ipi ila kwangu naona jamaa alikuwa anafanya kitu halali kbsa. Zaidi ya hapo ni changamoto za kawaida ambazo zingeweza kutatuliwa bila hta kwenda mahakamani.unajaribu kuhalalisha.. Hata hapa Bongo hizo unazoziita crowd funding zipo ila unatakiwa ufuate taratibu za kisheria za Masoko ya Hisa na Mitaji.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app