Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

Kuna wachina walikamatwa Morogoro wakiwa na 200M ndani, pesa za Mabonanza.

Kwa ujinga kama huu ndio maana kina Manji walikuwa wanatunza pesa zao Uswisi.

Laiti kama Manji angekuwa anaweka pesa hapa, angepitia hali ngumu sana na umasikini wa kutisha.
Kwa kifupi Wachina hawatunzi pesa sehemu moja.
 
Sasa hizo 5.4 bilioni walizolamba wameshindwa kumbakizia walau milioni 5 tu ili alipe faini? Na hizo pesa watu wakadai BOT au kwa DPP sasa, maana hizo ni pesa za watu waliowekeza mjue..
 
Hizi kesi sa kukubali mashitaka na kulipa fine ni mbinu za kuibia watu pesa.

Binafsi mpaka leo sijaelewa kosa la mr kuku. Maana kama mradi ulikuwa active na watu wanawekeza kwa free consent sasa kosa lipo wapi?
Kosa ni kuendesha Pyramid scheme, baadae sana watu wengi wangelia. Ni kama Qnet na Rifaro au Deci
 
Sasa si kwenye akaunti kuna iyo Billion 5.4 sasa iyo 5 itumike kama Fidia hafu iyo pont 4 (Mil 400) jamaa awape Mahakama Mil 5 yao hafu ibaki Mil 395.


Mil 100 hivi aende vacation viwanja vya mbele kama week 2 hivi hafu arudi kuanza upya.

Atawapata wajinga wengine tu.
Elewa kwanza, wamelamba zote, hajaachiwa kitu
 
Sasa pesa BOT ikafanye nini??....si walipwe waliotapeliwa
Hazitatosha, inabidi BOT wakae nazo wakati tathmini ya waliotapeliwa ikiendelea ili kuhakiki nani katapeliwa kiasi gani na kila mtu apate asilimia ngapi ya alichotapeliwa, maana kamwe haziwezi tosha
 
Hiyo B5 ikishawekwa kwenye account ya DPP ina maana wale waliotapeliwa ndio hawapati hata 100 mbovu? Mbona kama serikali inashiriki utapeli sasa hiyo hela warudishe kwa waliotapeliwa na waache kujimilikisha
 
Mr. Kuku ametisha, huyo ni mtu wa kufanya nae mazungumzo lazima ana mbinu nyingi za kutafuta mkwanja, 5B si mchezo ujue
 
Hivi wale wa deci walilipwa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Walijenga nchi, ila mpaka deci inapigwa chini hakuna mtu aliekua amelizwa ila Jamuhuri ya watu wakati ndio walikuja kusempa na bilion kadhaa lawama wakabeba desi alkdhalika uyu mr hen waliolizwa wamejenga nchi
 
Back
Top Bottom