Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Sheria inasemaje??? Halafu AiSiiSii mnapeleka hili jalada nalo lini??Hiyo B5 ikishawekwa kwenye accnt ya DPP inamaana wale walio tapeliwa ndo hawapat hata 100 mbovu ? Mbna kma serikali inashiriki utapeli sasa hiyo hela warudishe kwa walio tapeliwa na waache kujimilikisha
Ni Kweli kabisa, sio kama Qnet, labda leseni kukosekana, ubunifu wa namna hii, serikali ingemchukua na kumsaidia au kuchukua mawazo yake ili iweze kutengeneza ajira kwa watanzania.Hali ni ngumu mno kwa watanzania ndio maana watu wanatapeliwa na hizi network marketing.Hizi kesi sa kukubali mashitaka na kulipa fine ni mbinu za kuibia watu pesa.
Binafsi mpaka leo sijaelewa kosa la mr kuku. Maana kama mradi ulikuwa active na watu wanawekeza kwa free consent sasa kosa lipo wapi?
Hahahahahah yani hii ni sawa na mtu kakufunga mikono halafu anakuzaba kofi kwa dharau...huku akisema "nipige basi nawewe"Duuh noma kweli rafiki angu!!! Wangemuacha tu uyu chalii maana iyo m5 ni kama wemkomoa tu cuz wanajua kabisa hana kibunda chote wamelamba dadeki
Na ana mke na watoto sasa ndio ubaya, auze ile Jaguar F-Pace ya 2018Kwasasa ana miaka 29 akifungwa miaka 5 anatoka akiwa na 34.
Kapoteza mwelekeo.
Unapigwa shtaka kisha zinakwapuliwa then shughuli inakuwa imeisha, sahivi sila nyepesi "Uhujumu uchumi" utatafutwa angle zote uingizwe kweny hio vanga.Kuweka hela benki za Tanzania ni risk.
Muda wowote wakizitaka wanazichukua.
Bila mjadala mrefu.
Unapigwa shtaka kisha zinakwapuliwa then shughuli inakuwa imeisha, sahivi sila nyepesi "Uhujumu uchumi" utatafutwa angle zote uingizwe kweny hio vanga.
Kama intention ni kukwapuliwa kiswaufu hata ukienda jela haisaidii kwa sababu hela washachukua. Bora kupunguziwa adhabu tu halafu inaonekana dogo ana asili ya dharau toka alipotoka kimaisha huko uraiani. Sidhani kama kwa business cycle aliokuwa nayo anakosa mtu wa kumpa 5M asiende jela.Kwa mpunga huo mi naenda jela
Hahahah ndipo tulipofikia...Cha msingi ni ku adapt mfumo ili usijiingize matatizoni chief!Sasa huu ni utapeli wa serikali why wasirudishiwe waliozichanga na doc wanazo???
Nitapambana Na Rushwa Bila Kigugumizi Chochote Na Dawa Ya Jipu Ni Kulitumbua.Utakuwa una undugu au maslahi na Mr Bata
Stupid and silly question.Hiyo pesa aliyopewa DPP wanarudishiwa walioliwa au inaenda wap?
Ndugu aliwaacha chake chake huko akajitenga na kwenda kuishi kistaa Masaki 🤣🤣🤣Kwani hana ndugu au marafiki wa kumsaidia kulipa hadi aende jela?
Mbona unakuwa mgumu kuelewa? Mfungwa anatakiwa alipe fidia bil 5.4, alipe fine mil 5 au kifungo 10 yrs. Kama ulichanga subiri fidia broSasa huu ni utapeli wa serikali why wasirudishiwe waliozichanga na doc wanazo???
Yani unasemaje serikali inachukua bila ridhaa wakati wamekaa mezani jamaa akaridhia kumpa mitonyo DPP? Isitoshe jamaa yuko hatiani na keshakiri kwamba alifeli. Serikali ina mkono mrefu na inaweza kufanya hivyo kwa kufile order kwa banks tu ili walete taarifa zako za mipunga.Wakuu inakuaje serikali inachukua fedha kutoka kwenye account ya mtu bila ridhaa yake. Sheria za bank zimekaaje?
Fine sawa...lakini why hela zirudi serikalini?????Mbona unakuwa mgumu kuelewa? Mfungwa anatakiwa alipe fidia bil 5.4, alipe fine mil 5 au kifungo 10yrs. Kama ulichanga subiri fidia bro
Nyie endeleeni na maisha yenu kama kawaida. Swala la hela mtarudishiwa tu Mungu akipenda🤣🤣🤣Kwahiyo sisi wafuga kuku pesa tunarudishiwa na DPP au BOT?