Mr Likwid Piere Konki afanyiwa birthday mastaa wafurika

Halafu ile baa haina maajabu yoyote ila basi tu
 
wakazi wa kigamboni liquid ndo kiwanja chetu
mbun.ye kali nje nje dau lako tu
halafu tukishawaka tunavuka daraja kwa mguu
Kumbe huwa panahappen. Mm huwa napapitaga tu napoenda zangu darajani kuvuka. Naendaga kumalizia nolasko
 
""asemaye muogo kesho[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3]atari fire, jaman jaman jaman, liquid imezaliwa upya tena na kuchanua[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji16]
"Liquid itakuwa juu kabisa, itafika mbinguni kabisa mawinguni, liquiiidiiii"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji28] chombo ya piere konki Tumuite shemeji tu[emoji28]
 
Kumbe huwa panahappen. Mm huwa napapitaga tu napoenda zangu darajani kuvuka. Naendaga kumalizia nolasko
pako poa sana
at least watu wana class flani
nolasco usinambie,watoto wa kibada kibao halafu vibaka ***** zao,mademu wenyewe wa ovyo ovyo tu
 
pako poa sana
at least watu wana class flani
nolasco usinambie,watoto wa kibada kibao halafu vibaka ***** zao,mademu wenyewe wa ovyo ovyo tu

Nolasco! Nilishaenda na jamaa akanusurika kuibiwa simu na demu, hahaha shida sana pale.

Pabovu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…