Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
- #201
Nchi hii imejengwa kwa machozi, jasho na damu. Hatuwezi kulazimika kuishi ndoto ya mzee Mtei. Tumekataa kufarakanishwa kwa misingi ya ubaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuotaWatanzania wote wenye akili timamu watampigia kura Lissu..misogynist hana nafasi..
Nitawachapa mashangazi zako,barakoa kama titi moja, sitasomesha wanafunzi wajawazito nk nk
Mtumishi anahubiri au anapiga Kampeni?Funuliwa na neno Hilo ewe kjanaView attachment 1578691
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hachomoki wakati wameona moto mkali wanataka kuungana baada ya kugundua mmoj mmoja hawamwezi, hata wakiungana bado hawamwezi mzee wa chato, mark my wordHuku lissu kati kachero mbobevu, walahi mbabu wa chatto hachomoki, ajiandae kurudia kazi yake ya unyampara wa mabarabara hiyo ndo anaimudu, Tundu lissu hana kinyongo naye atampa unyampara
MwenyeweKalagabaho
Wanabodi,
Tujiandae kusikia chochote kutoka kwenye viunga vya siasa za Upinzani. Bundi ametua kwenye mti wa mzambarau halafu akaruka na kwenda kutua mti wa msumbawanga (taja kabila).
Kule kwenye mti wa mzambarau, kachero hashikiki hatamaniki. Unaambiwa amevimba Kama koboko. Kasema Kama mbwai na iwe mbwai yeye ndie mpeperusha fulagi. Nyepesi anahaha kutaka suluhu ila kachero hataki kusikia ukizingatia keshaingiza pensheni yake huko kununua mbolea na viatilifu vingine vya kuukuza mti wa mzambarau.
Kule kwenye mti wa msumbawanga, unaambiwa Mr. Know Ol hafuati maelekezo Wala utaratibu. Amesema yeye ni alwatan almaarufu. Yeye ndio kajiweka juu ya kila kitu na ndio maana inasemekana cheamani na KM wamesusa kimtindo. Mr No Everithingi anaonekana kuwa mzoefu wa mapambano ya kipontio Pilato ila n mwepesi mithili ya unyoya wa kuku yanapokuja masuala ya kikaisari. Cheamani alisikika akisema "mwaka huu Kama nitapata wabunge 20 itakuwa muujiza".
Haya jogoo ameshawika, upande wa pili wazee wa mchicha, matembele, sukumawiki na spinachi nasikia mambo yao kwatu. Wanateleza Kama wako kwenye mgongo wa ngisi. Sasa hivi wamekodisha mwewe wanampanda na amewaongezea umaarufu.
Tusubiri
Amani Msumari
Tanga (kwasasa Kigamboni kumsabahi baba Kegan)
TusubiriHahahaha
Kule kwenye Mti wa mzambarau kumenoga maana kubwa la story za bahari halihitaji Ndege tofauti na Nyangenyange.
Ngoja tuone safari ya Ngisi itakuwaje hungwe ya pili ya mtifuano