Uchaguzi 2020 Mr. Much know na Kachero waamsha wenge upinzani: Vurugu zimeanza tayari

Uchaguzi 2020 Mr. Much know na Kachero waamsha wenge upinzani: Vurugu zimeanza tayari

Ukweli ni kwamba Membe hata akigoma kumwunga mkono Lissu hao wanachama wa ACT wanapigia kura mgombea wa urais chadema .Kwahiyo Membe awaunge mkono chadema au asiwaunge haisaidii ,zamu hii hawa viongozi wanaohama vyama hamna anayewaamini kama walivyofanya lowasa na sumaye .


ACT inahitaji chadema lakini chadema haihitaji ACT huku bara
Nadhani Mheshimiwa Zitto amekusikia au rudia tena. Eti umesema huku bara hamuwahitaji sio?
 
Baadhi ya binadamu wa JF wabaya sana....!Nikikumbuka namna hao binadamu walivyokuwa wana'mpaka mafuta kwa mgongo wa chupa' ndugu Membe hapa jukwaani yaani hata siamini ninachokisoma hapa jukwaani. Wengine, walibadiri hadi Avatars zao hapa JF na kuweka avatar za picha za ndugu B. 'Camillus', huku wakikoleza na hash-tags za #Twende na 'Jamaa' 2020. Hizo avatar sioni hata moja!..
Na liliundwa mpaka grupu la wasapu kutokea humu liliitwa membe ikulu. Ila tangu juzi naona wamebadili jina la grupu. Watu wabaya sanaaa
 
Wameshikwa pabaya khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na mwaka huu watakoma tu!
Wakati ukiandika hayo, hakikisha hausahau maneno mazito kutoka kwa le chea "mwaka huu Kama nitapata wabunge 20 itakuwa ni muujiza". Mwisho wa kunukuu.
 
Baadhi ya binadamu wa JF wabaya sana....!Nikikumbuka namna hao binadamu walivyokuwa wana'mpaka mafuta kwa mgongo wa chupa' ndugu Membe hapa jukwaani yaani hata siamini ninachokisoma hapa jukwaani. Wengine, walibadiri hadi Avatars zao hapa JF na kuweka avatar za picha za ndugu B. 'Camillus', huku wakikoleza na hash-tags za #Twende na 'Jamaa' 2020. Hizo avatar sioni hata moja!

Mshana Jr , Mkuu, upo?

Kwa heshima kubwa naomba utoe tathmini ni nini kimetokea juu ya Mtanzania mwenzetu Ndugu Benard kisiasa.

Muda ukikutosha tufafanulie zaidi juu ya huyu ndugu yetu amekwama wapi; wakati juzi kati tuliambiwa anaadaa baraza la mawaziri.

Karibu
Naunga mkono. Bwana Mshana atoe mawili matatu juu ya Kachero mbobezi
 
Sawa huenda akawa nazo Ila ndoivyo sasa lazima azibanie,hawezi kuingia kichwakichwa wakati anajua kabisa Hana guarantee ya kushinda uchaguzi😂.
Na vile wanasema ana akili nyingi na anajua vyote kaona hapana, azitunze leo ili zimtunze kesho
 
OSawa mkuu sirudii.ila naumia kuona alikuja upinzani alafu karudi ukouko alikotoka.
Ila nimependa. U r so humble. Hivyo ndivyo Watanzania twahimiza tuwe. Tunabishana kwa vyama vyetu ila mwisho n wamoja na tunadumisha mila na taratibu zetu nzuri.

Barikiwa sana uingiapo na utokapo. Bwana Mungu akupe haja ya moyo wako.
 
Huku lissu kati kachero mbobevu, walahi mbabu wa chatto hachomoki, ajiandae kurudia kazi yake ya unyampara wa mabarabara hiyo ndo anaimudu, Tundu lissu hana kinyongo naye atampa unyampara
Can u define day dreaming?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera kwa ngonjera tamu kwa wanalumba.. bila shaka umevuna Zaidi ya akina mgonjwa mtambuka na bia yangu
 
Back
Top Bottom