Uchaguzi 2020 Mr. Much know na Kachero waamsha wenge upinzani: Vurugu zimeanza tayari

Nchi hii imejengwa kwa machozi, jasho na damu. Hatuwezi kulazimika kuishi ndoto ya mzee Mtei. Tumekataa kufarakanishwa kwa misingi ya ubaguzi
 
Kote mfumo huo ulipoasisiwa ilikuwa ni kutaka kurekebisha hizo kasoro ambazo kwetu hazipo.
 
Watanzania wote wenye akili timamu watampigia kura Lissu..misogynist hana nafasi..
Nitawachapa mashangazi zako,barakoa kama titi moja, sitasomesha wanafunzi wajawazito nk nk
 
Watanzania wote wenye akili timamu watampigia kura Lissu..misogynist hana nafasi..
Nitawachapa mashangazi zako,barakoa kama titi moja, sitasomesha wanafunzi wajawazito nk nk
Endelea kuota
 
Huku lissu kati kachero mbobevu, walahi mbabu wa chatto hachomoki, ajiandae kurudia kazi yake ya unyampara wa mabarabara hiyo ndo anaimudu, Tundu lissu hana kinyongo naye atampa unyampara
Hachomoki wakati wameona moto mkali wanataka kuungana baada ya kugundua mmoj mmoja hawamwezi, hata wakiungana bado hawamwezi mzee wa chato, mark my word

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Maskini Membe, alidhani wanazungumza lugha mmoja,kumbe wanatafuta pesa zake.
Na pale walipoona hakuna dalili za kutoa pesa zaidi wakamtosa.
 
Hahahaha

Kule kwenye Mti wa mzambarau kumenoga maana kubwa la story za bahari halihitaji Ndege tofauti na Nyangenyange.

Ngoja tuone safari ya Ngisi itakuwaje hungwe ya pili ya mtifuano
 
Hahahaha

Kule kwenye Mti wa mzambarau kumenoga maana kubwa la story za bahari halihitaji Ndege tofauti na Nyangenyange.

Ngoja tuone safari ya Ngisi itakuwaje hungwe ya pili ya mtifuano
Tusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…